OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Hata akirudishwa atakua na backing kutoka kwa Raisi kwasabb iko kwenye gang mbaya asio penda hu utawala, nyie hamjui makosa na njama za hao watu, siasa ina mengi.
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Amrudishe kufanya nini?
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Hii vizara Lukuvi aliitendea haki na hakika aliimudu mujarab kabisa.
Kama ni makosa alimpara mama, basi mama anapaswa kumsamehe kama alivyo wasamehe wengine.
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Watu wapo wengi wa kufanya kazi sio lazima arudi huyo Lukuvi.

Kashakaa serikani miaka kibao bado mnataka arudi siku akistaafu au akifa inamaana wizara nayo itakufa?

Hakuna haja ya kumrudisha watafute mbinu za kuleta efficiency tu.
 
sasa hajafa
 
Lukuvi ni nani kiasi kwamba awe anateuliwa kila wakati kuwa waziri atulie na ubunge basi ifike nyakati tuache tabia ya kuona watu fulani ndo wanafaa kuwa viongozi
 
Back
Top Bottom