OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

Watu wapo wengi wa kufanya kazi sio lazima arudi huyo Lukuvi.

Kashakaa serikani miaka kibao bado mnataka arudi siku akistaafu au akifa inamaana wizara nayo itakufa?

Hakuna haja ya kumrudisha watafute mbinu za kuleta efficiency tu.
WE HAUNA UTASHI JUU YA HAYA MAMBO. JIULIZE KWANINI WAISRAEL WALIMRUDISHA MADARAKANI NETANYAHU? LEO HII MAREKANI WANAMTAKA TENA TRUMP ASHIKE MILANGO YA IKULU.
 
Tatizo mdini sana na alidhihirisha mbele ya waumini kanisani akiungwa mkono na wachungaji
Hawezi kurudi hata aroge hafai
 
Uko sahihi. Pale Ardhi sasa hivi rushwa ni kama ada na tozo tu - waziwazi.

Utendaji na ufanisi ni aibu tupu.
 
Ningependa kujua yule mtoto wa nanii aliyehamishiwa Utumishi alihusika kiasi Gani ktk uvurugaji huo!!!
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Sidhani kama aliondolewa kwa sababu ya makosa hivyo ikimpendeza Mama anaweza Kumrudisha.
Binafsi tangu nimeanza kujua hiyo Wizara; sijaona wa kumfananisha kiutendaji na Muheshimiwa LUKUVI
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Humjui lukuvi wewe ! Yule ni jambazi linalovaa suti kama majambazi wengine tu hapo lumumba
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Hata Jafo anatakiwa kurudi Tamisemi,Kairuki hawawezi mchwa walioko Halmashauri,wanakula mpaka makalio ukizubaa.
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Akina Lukuvi wapo madarakani tangu enzi za Nyerere, wapumzike sasa.
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Hata mimi naunga mkono hoja.
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
1. Lukuvi....ardhi
2. Muhongo....nishati au madini

Mama hatajuta kufanyakazi na haya majembe
 
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Hiyo wizara ya ardhi kabla hajapewa Lukuvi ilikuwa na matatizo makubwa sana. Na sasa tangu Lukuvi aondoke ni kilio nchi nzima dhuluma ya ardhi kwa masikini na rushwa vimetamalaki upya.

Kiukweli kabisa jamaa alijitahidi sana kuirekebisha hiyo wizara. Suala la yeye kurudishwa au kutorudishwa bado litabaki kwa mheshimiwa raisi kwani yeye ndiye pekee anayejua kwa nini alimuondoa hapo ardhi na kumpumzisha.
 
Kama mtu anafanya vizuri hakuna tatizo kuongoza muda mrefu hata kama hadi mwisho wa maisha yake ni sawa kabisa.
Ikiwa hivyo vijana hawatapata kazi na hatutakuwa na mawazo mapya. Na hilo ndio tatizo la Africa, kuongozwa na wazee wasiopenda mabadiliko.
 
Back
Top Bottom