OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

Mwacheni apumzike kwanza - tuliamua hawa wazee wamsaidie Rais kazi maalum.
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
ACHENI UJINGA KWANINI LUKUVI? UKINGA KAMA HUU ALIUFANYA MAGUFULI ETI AKIONDOKA MADARAKANI HAKUNA ATAKAYEWEZA KUKAMILISHA MIRADI MBONA HAYUPO NA MIRADI INAKAMILIKA LUKUVI APUMZIKE TU KUNA WATANZANIA MIL.60
 
CHONDE CHONDE MAMA SAMIA TUNAKUOMBA TUSIKILIZE JAPO KIDOGO TU, TWAFA KWA SASA ARDHI PANANUKA RUSHWA, KAZI HAZIENDI BILA RUSHWA, NA HELA ZA KUTOA RUSHWA WENGINE HATUNA.
 
ACHENI UJINGA KWANINI LUKUVI? UKINGA KAMA HUU ALIUFANYA MAGUFULI ETI AKIONDOKA MADARAKANI HAKUNA ATAKAYEWEZA KUKAMILISHA MIRADI MBONA HAYUPO NA MIRADI INAKAMILIKA LUKUVI APUMZIKE TU KUNA WATANZANIA MIL.60
Wewe ni beneficiary wa hapo kama sikosei, ungelikuwa mtanzania wa kawaida ungelikwisha piga mayowe kwa ujinga na Upumbavu wa hapo ardhi.
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Kwani maza kakwambia anataka uozo uishe?
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Yule mama aliyepewa hii wizara ni Bomu
 
Migogoro ya ardhi haitatuliwi.

Imagine mtu au watu wamevamia eneo la
Mtu na kujenga na kunufaika nalo miaka mingi badala ya ufumbuzi wa kutatua ili eneo la mtu lirudi mikononi mwake limfaidishe.

Wengine wanakatwa mikopo kila mwezi marejesho lakini eneo limevamiwa,
Serikalini mnataka watu wauane ndipo mchukue hatua ?

Kule Mbopo Magwepande huu ni Mwaka wa ngapi sasa?

Kuna ugumu gani wa kusimamia haki?

Najua Mbunge wa sasa ni kikwazo kikubwa lakini haki izuiwe kwaajili yake yeye tu ?
 
Ila kumuacha chapakazi kama Lukuvi nje ya uwanja wakati anawezea kutumikia wananchi Kwa kuwanyoosha watendaji wabovu hakika inaacha maswali mengi sana kwa wananchi.

Ingawa hata Lukuvi upande wa utatuzi wa migogoro ya ardhi alilegea sana,

Hata mgogoro wa Mbopo kwa miaka mingi hakutia nia ya kuutatua.

Lakini kwa wastani upande wa mambo mengine alifanya vizuri mara million kuliko Profesa
 
Hii vizara Lukuvi aliitendea haki na hakika aliimudu mujarab kabisa.
Kama ni makosa alimpara mama, basi mama anapaswa kumsamehe kama alivyo wasamehe wengine.
Kwani Ndugai alisamehewa?
 
Wizara ya Ardhi 2020-2024-Lukuvi, Angelina Mabula-Jerry Silaa-Ndejembi
 
Sahau yaliyopita, , kama kuna mahali alikukosea huko nyuma,msamehe, ni mtendaji mzuri. Wizara ya ardhi aliimudu sana na mafanikio makubwa
Hiyo hawezi kurudi,madudu aliyokuwa anagombana nayo Jerry Kwa nini hakuyamaliza?

Pili yaani umridishe mtu ambae anataka Urais?
 
Wazee wastaafu, huko Ikulu pana mtosha aendelee kumshauri rais, waandaliwe vijana.
 
Back
Top Bottom