Ni vigumu Sana kurudishwa ktk Wizara hiyo.
Lukuvi alikuwa mtu mzuri kwa Wananchi wa kawaida, lakini alikuwa mtu mbaya sana kwa 'wale jamaa wa msoga gang' kwani alikuwa anaathiri Sana maslahi yao binafsi.
Kumbukeni; Hao watu ambao Wananchi wa kawaida wanawatambua kuwa ni matapeli au majambazi wa Ardhi, baadhi yao ni 'mawakala wa umiliki wa Ardhi za wakubwa.' 'Wakubwa' wanawatumia hao ktk kumiliki hizo Ardhi, ukiwanyang'anya Ardhi hao 'matapeli wa Ardhi' maana yake umewanyang'anya Ardhi hao wakubwa wanaowawakilisha.
Naomba kuuliza, Hivi sakata la Lugumi liliishia wapi vile?????? Naomba mnijuze.