Uchaguzi 2020 Ombi: Ratiba ijayo ya Mikutano ya Kampeni za Tundu Lissu iangazie Wilaya za Rungwe na Kyela

Fuateni ratiba, tayari mmepanic baada ya jiwe KUWAKERAAAAAAAAAA LEO na bado
 
Pole kwa kujidanganya, jiwe ana DAMU YA KUNGUNI hakubaliki tena popote.
Unachokisema nimekiona leo Taifa , alipokaribia kuhutubia nusu ya wananchi wakaanza kuondoka
 
Mshabiki una maono kuliko mwenye chama, hatari kabisa. Fuateni ratiba ya tume, ila kipigo kipo pale pale. Mkae au msimame.
 
Ilikiwa aende huko mwezi wa Tisa Ileje, Rungwe Tukuyu Mwakaleli na Kyela.

Kulikulitokea sababu mbili tatu akashindwa kufika. Wat wa Tukuyu walimsubiri sana Lissu.

Natumaini CHADEMA wataloshughulika hili Kwa sababu chadema ni Chama makink sana.
 
mugah di mathew , Missile of the Nation , Erythrocyte , denooJ ,

..Mnaweza kufuatilia Ratiba ya Wagombea Uraisi ktk link niliyoiweka hapo chini.

Ratiba ya TUNDU LISSU inaonyesha ifuatavyo:

October 10 to 11 amepangiwa kuwa Chamwino, Mvumi, Ikungi, Manyoni, Mkalama, Singida .

October 12 amepangiwa kuwa Tabora [Igunga, Nzega] Shinyanga[ Kahama].

October 13 amepangiwa kuwa Geita [ Mbogwe, Bukombe, Chato].

October 14 amepangiwa kuwa Mwanza[ Ukerewe ], Mara [ Rorya ].

October 15 amepangiwa kuwa Simiyu [ Itilima, Meatu, Bariadi ].

October 16 amepangiwa kuwa Tabora [ Tabora, Urambo,Kaliua].

October 17 amepangiwa kuwa Singida[ Manyoni], Dodoma [ Bahi, Kongwa, Dodoma ].

Ratiba ya SALUM MWALIMU inaonyesha kati ya October 10 to 17th atakuwa maeneo ya Iringa, Mbeya, Songwe, Rukwa, Kigoma, na Kagera.

https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1601631440-RATIBA YA KAMPENI TOLEO LA TANO.pdf
Asante kwa taarifa
 
Watampaje kura mtu wasiemjua?,maeneo mengi Lissu hawamjui,na ili kuwafikia inahitaji muda na fedha,kwa sasa Lissu hana fedha,katumia mudamwingi kula bata Ubelgiji.
Kikubwa acha uchaguzi upite akishapigwa chini ajipange kwauchaguzi ujao.
 
Akipigwa chini chadema wanampiga chini pia hilo ajiandae kabisa
 
Watampaje kura mtu wasiemjua?,maeneo mengi Lissu hawamjui,na ili kuwafikia inahitaji muda na fedha,kwa sasa Lissu hana fedha,katumia mudamwingi kula bata Ubelgiji.
Kikubwa acha uchaguzi upite akishapigwa chini ajipange kwauchaguzi ujao.
Hii itawatoa povu sana team Ugoro
 
mugah di mathew , Missile of the Nation , Erythrocyte , denooJ ,

..Mnaweza kufuatilia Ratiba ya Wagombea Uraisi ktk link niliyoiweka hapo chini.

Ratiba ya TUNDU LISSU inaonyesha ifuatavyo:

October 10 to 11 amepangiwa kuwa Chamwino, Mvumi, Ikungi, Manyoni, Mkalama, Singida .

October 12 amepangiwa kuwa Tabora [Igunga, Nzega] Shinyanga[ Kahama].

October 13 amepangiwa kuwa Geita [ Mbogwe, Bukombe, Chato].

October 14 amepangiwa kuwa Mwanza[ Ukerewe ], Mara [ Rorya ].

October 15 amepangiwa kuwa Simiyu [ Itilima, Meatu, Bariadi ].

October 16 amepangiwa kuwa Tabora [ Tabora, Urambo,Kaliua].

October 17 amepangiwa kuwa Singida[ Manyoni], Dodoma [ Bahi, Kongwa, Dodoma ].

Ratiba ya SALUM MWALIMU inaonyesha kati ya October 10 to 17th atakuwa maeneo ya Iringa, Mbeya, Songwe, Rukwa, Kigoma, na Kagera.

https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1601631440-RATIBA YA KAMPENI TOLEO LA TANO.pdf
Hivi haiwezekani mgombea mwenza na mgombea mwenyewe wakaongozana kupita sehemu moja?
 
Back
Top Bottom