Uchaguzi 2020 Ombi: Ratiba ijayo ya Mikutano ya Kampeni za Tundu Lissu iangazie Wilaya za Rungwe na Kyela

Uchaguzi 2020 Ombi: Ratiba ijayo ya Mikutano ya Kampeni za Tundu Lissu iangazie Wilaya za Rungwe na Kyela

Mwaka huu kiburi na majivuno utapunguza, lazima tarehe 28 tukunyooshe.
Huko Mbeya nako bora mtangulize wanajeshi wakapige kura tarehe 27.10. kwa usalama wenu, vinginevyo mtagaragazwa mpaka mjute..mnapeleka mgombea wa maigizo makusudi mnasubiri miujiza, hapatakuwa na muujiza myfriend, ni simdano zilezile za kawaida.
 
nchii kubwa sana hii muda utaisha hawajafanya kitu
Dhumuni hapa nataka Lissu akapite maeneo fulani fulani hata kwa masaa kadhaa tu, akawavuruge CCM kabisa, ikibidi achepuke kidogo aache njia kuu.
 
Dhumuni hapa nataka Lissu akapite maeneo fulani fulani hata kwa masaa kadhaa tu, akawavuruge CCM kabisa, ikibidi achepuke kidogo aache njia kuu.
akichepuka yatakuwa yale yale ya Serengeti
 
Mgombea wa ubunge Ccm bunda mjini anahutubia watoto anawaambia kuwa maabara Ya taifa ndio inayotengeneza dawa tunazotumia, wakuu huyu ni kwa nini tume isimuondoe haraka iwezekanavyo? Anawapotosha watoto wanaosoma huko Shuleni si watadhani ni kweli?
 
Huko Mbeya nako bora mtangulize wanajeshi wakapige kura tarehe 27.10. kwa usalama wenu, vinginevyo mtagaragazwa mpaka mjute..mnapeleka mgombea wa maigizo makusudi mnasubiri miujiza, hapatakuwa na muujiza myfriend, ni simdano zilezile za kawaida.
Jimbo la Mbeya sijui hali iko vipi, ninalofahamu ni jimbo langu la Rungwe. Tumemwambia mbunge anayemaliza muda wake afungashe kabisa.
 
Akipigwa chini chadema wanampiga chini pia hilo ajiandae kabisa
Fact.
kwanza Mbowe keshaanza kupata mashaka na umaarufu wa ghafla wa Lissu,muda wowote Mbowe anaweza kupokonywa chama na Lissu kitu ambacho Mbowe awezikubali.
 
Back
Top Bottom