Huko Mbeya nako bora mtangulize wanajeshi wakapige kura tarehe 27.10. kwa usalama wenu, vinginevyo mtagaragazwa mpaka mjute..mnapeleka mgombea wa maigizo makusudi mnasubiri miujiza, hapatakuwa na muujiza myfriend, ni simdano zilezile za kawaida.Mwaka huu kiburi na majivuno utapunguza, lazima tarehe 28 tukunyooshe.
Dhumuni hapa nataka Lissu akapite maeneo fulani fulani hata kwa masaa kadhaa tu, akawavuruge CCM kabisa, ikibidi achepuke kidogo aache njia kuu.nchii kubwa sana hii muda utaisha hawajafanya kitu
akichepuka yatakuwa yale yale ya SerengetiDhumuni hapa nataka Lissu akapite maeneo fulani fulani hata kwa masaa kadhaa tu, akawavuruge CCM kabisa, ikibidi achepuke kidogo aache njia kuu.
Jimbo la Mbeya sijui hali iko vipi, ninalofahamu ni jimbo langu la Rungwe. Tumemwambia mbunge anayemaliza muda wake afungashe kabisa.Huko Mbeya nako bora mtangulize wanajeshi wakapige kura tarehe 27.10. kwa usalama wenu, vinginevyo mtagaragazwa mpaka mjute..mnapeleka mgombea wa maigizo makusudi mnasubiri miujiza, hapatakuwa na muujiza myfriend, ni simdano zilezile za kawaida.
Fact.Akipigwa chini chadema wanampiga chini pia hilo ajiandae kabisa