Siwezi kununua hata ziuzwe mia 200. Mask haiwezi kuwa tegemeo la kuishi kwangu.Yaani ni balaa kubwa sana .....ukiwa mbishi inakula kwako!!!
Inabidi serikali iliangalie hili mapema sana....watanzania wengi ni waoga wakujitetea tunakufa na tai shingoni!!
Uko sahihi mheshimiwa, unatumia njia gani?kukwepa mkono wa CoronaSiwezi kununua hata ziuzwe mia 200. Mask haiwezi kuwa tegemeo la kuishi kwangu.
Huwa wanasema kufa kufaanaWatanzania ni watu wa ajabu sana janga kama hili unakuta MTU ndiyo anataka atajirike....huu ni unyama,Jana jamaa YANGU kaenda huko posta DSM anataka kununua box LA musk hizi za kujikinga kuuliza bei anaambiwa kwa sasa musk moja inauzwa shilingi 8000/=,wakati mwanzo ziliuzwa 500/= yaani ni shida sana hapa ubinaadamu hakuna kabisa.
Unapandisha bei ya bidhaa wakati hilo janga linaweza likakutafuna hiyo faida kubwa sijui utailia akhera,serikali iweke mkazo kwenye hili LA sivyo itakuwa ni maafa ya kutisha.
naona serikali wametekeleza ombi langu.Bora hata nyie mna pesa za kununulia masks wengine hata ela ya kula ni mtihani sembuse hizo mask na mazaga mengine...we kama una nafasi ya kununua nunua tu mkuu hakuna namna maana yajayo yana furahisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ni shamba LA wanyama!!Huwa wanasema kufa kufaana
Leo nimerudi hizo pharmacy! Unajua wanauzaje mask iliyokuwa inauzwa kwa 600-1000/=! Inauzwa 3000/= (buku tatu(zaidi ya x3 ya bei ya awali) Box lenye mask 100 lililokuwa kinauzwa elfu 50, ni sawa kwa sasa na laki tatu!Idd Ninga,
Wanachofanya sasa ni kuzifanya hizo bidhaa ziadimike! Nimetoka muda mfupi tu kutafuta sanitizer na mask kwenye pharmacy kubwa hapa mjini na wameniambia zimekwisha! Sasa sijui kama zimekwisha au wanasubiri mpaka watu tuanze kuhaha ndio watupige na bei za kunyonga! Kweli aliyesema kufa kufaana aliwaza sana aiseeh!