Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Another corona overhype
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakupinga Ila nimecheka hilo la ulanguzi wa coronaKumbe wanaitwaje!? Kitu cha buku kinauzwa 13,000/=! Kitu y jelo (500) kinauzwa 5,000/=!
Unaitaje hiyo?
Black bandana yangu inanitoshaKitambaa kama bandana kinatosha.
pac ya 20 ni zaidi ya sh 130000Hizo nadhani msd wanauza 16000 pack ya 10
Nimezungumzia surgical mask sio N95pac ya 20 ni zaidi ya sh 130000
by the way hizi barakoa za N 95 waachiwe wataalamu wa afya wanaokutana na wagonjwa