Gwajima ndo tatizo akiwa Bungeni walimuomba amfufue huyu mpendwa wetu, yeye Gwajima pamoja na mbwembwe zake huko nyuma za kufufua wasio kufa , akiwa Bungeni kuhusu swala la kumfufua mpendwa wetu umeuchuna tu.🤣 acheni matusi basi! Mwendazake atafufuka mkiendelea kumnanga
Sawa Jumanne, Jumatano, Ijumaa na jumapili siku za kuanika "ubwaba". Hivi mbona mnatuonea sana wakulima?Acha uongo, hujafika Chato.
Huduma za ndege zipo kila Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi
Pia tunaomba meneja wa Uwanja abadilishiwe majukumu awe msimamizi wa Uanikaji mazao na kuhakikisha watu wanaanika kwa zamuSasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
Kidumu CCM
#matege
RuksaSasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
Kidumu CCM
#matege
Dharsu kwa meko tu na sio watanzania.Hiyo ni dharau kubwa watanzania,dharau kubwa kwa walipa kodi
Kwa sasa tunatumia kwa matambiko, wakaanikie kwenye mawe yamejaa huko Bwanga.Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
View attachment 1798102
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye uwanja wa Ndege Chato
Kidumu CCM
#matege
Hiki ndicho watu wa huyu mtu wanataka waone hata mama akifanya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah ingekuwa kipindi like ungesakwa na lile Nissan jeupe usiku na mchana hadi upatikane wakupeleke Mikocheni ukaimbe nyimbo zote
Halafu ankuja kama Plo Lumumba anatetemesha sauti eti anaunga mkono mambo kama haya. Mimi nilidhani anajiheshimu.Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
View attachment 1798102
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye uwanja wa Ndege Chato
Kidumu CCM
#matege
Mfano hauendani.Naona historia inajirudia! Huenda wewe mleta mada ni kijana uliyezaliwa awamu ya Mkapa! Kama umekula chumvi kidogo, utajua kwamba historia hujirudia, ulipojengwa KIA (Kilimanjaro International Airport) ulipomalizika, ulikosa ndege maana EMBAKASI ya Nairobi ndiyo ilikuwa inajulikana/inavuma. Lawama nyingi sana na kashfa kemkem /kejeri zilitolewa kwamba serikali imekurupuka kujenga KIA! Enzi hizo watalii wa mbuga na vivutio vyetu walikuwa wanatua Nairobi/EMBAKASI! Safari zinapangwa kuanzia huko, Hata mlima Kilimanjaro ilikuwa unapandiwa upande wa Kenya!
To cut a long story short, sasa hivi KIA Inafanya vizuri Sana.
Kwa hiyo subiri kidogo Chato itatoboa,usikejeri
Iv unalinganisha kitu gani mtoa mada?unajua kia inafeed mikoa mingapi na kwa nini?Kilimanjaro mlima mrefu ,na Arusha mbuga nyingi za wanyama,huku chato kuna nini zaid ya mbuga ya kuamishwa kama banda la vifaranga?think bigNaona historia inajirudia! Huenda wewe mleta mada ni kijana uliyezaliwa awamu ya Mkapa! Kama umekula chumvi kidogo, utajua kwamba historia hujirudia, ulipojengwa KIA (Kilimanjaro International Airport) ulipomalizika, ulikosa ndege maana EMBAKASI ya Nairobi ndiyo ilikuwa inajulikana/inavuma. Lawama nyingi sana na kashfa kemkem /kejeri zilitolewa kwamba serikali imekurupuka kujenga KIA! Enzi hizo watalii wa mbuga na vivutio vyetu walikuwa wanatua Nairobi/EMBAKASI! Safari zinapangwa kuanzia huko, Hata mlima Kilimanjaro ilikuwa unapandiwa upande wa Kenya!
To cut a long story short, sasa hivi KIA Inafanya vizuri Sana.
Kwa hiyo subiri kidogo Chato itatoboa,usikejeri
Nasimama na wewe mtoa mada.
Huu ndio uzalendo wa kweli, kukausha mazao ni njia bora kabisa ya utunzaji mazao.
Na ni muungwana pia. Licha ya kufafanua vizuri faida za kutumia uwanja huo kuanikia mazao, amekumbuka pia kumalizia kwa salamu ya "kidumu chama cha Mapinduzi". Huyu ni Muungwana
Wafanyakazi wa kiwanja cha chato bado wapo pale au kulikuwa hakuna wafanyakazi pale?Kwa mambo hayo wala hawahitaji kuomba ruhusa. Wanaomba ruhusa kwa yale ya mchana kweupe, siyo usiku