Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

😅 😅😅😅😅😅😅😅 daah uzi kweli unaonyesha, JF ni great thinkers!

Everyday is Saturday................................😎
 
Kwa mtu ambaye kwake usafiri wa ndege siyo kipaumbele,amezoea kusafiri kwa roli la mizigo hata kama hana furushi ni wazi atakuja na hoja dhaifu kama hii ambayo imekaa kitaarab zaidi.
Uwanja wa Chato unatumika kila wiki na ndege za Air Tanzania. Uwanja huo umetoa njia mbadala ya kusafiri kwa haraka si kwa wakazi wa Geita tu au Chato, bali kwa watu wote wanaoishi mikoa ya Kigoma Kagera na hata nchi jirani.
Tarehe zilizotajwa kwenye kiambatanisho nilichoweka hapo chini ni ushuhuda wa jinsi uwanja huo kupitia ATCL ulivyoniwezesha kufanya mambo yangu kwa ufanisi mkubwa kitu ambacho hakikuwahi kuwa rahisi siku za nyuma.
Nimeshuhudia watu kutoka Chato wakisafirisha mizigo na mazao ya Ziwani kwenda Dar es salaam ndege ilijaa kuliko kawaida. Baada ya miaka miwili ijayo wengi wataelimika tu..... Tujipe muda.

 
Yaani na
Yaan na ww unajiona umeandika Uzi.Lowasa alisema elimu!Elimu!!Yaani unapoandika uzi ,utafikiri Chato sio sehemu ya Tanzania. Yaan kujengwa uwanja hapo ilikosewa sana.Kumbe ww ni mjinga ambaye wajinga wote wanakanyanga wanaenda kwa wajinga wengine.
 
Kikwete kiwanja alichopewa kajenga?
 
Hoja yako imekubaliwa, mnaweza kuanika mazao, kujifunza kuendeshea baiskeli, fanyeni hivyo haraka kabla hayajageuzwa kuwa makao makuu ya mijusi
 
Kwani baba yako hana sehemu ya kuanikia huo mpunga,acheni madharau siku hizi mnabweka hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…