Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

Umjadala ufanywe na Lissu, Membe na Hashimu Rungwe wajadili jinsi ya kuwalisha ubwabwa watoto wa shule, Magufuli ni kama Messi utamuwekaje fungu moja na kina Kichuya?
 
Sisi mgombea wetu hawezi kushiliki, sababu anamajukumu mengi ,ya kitaifa na kimataifa.

Alisikika mlevi mmoja akisema.
 
Umjadala ufanywe na lisu membe na Hashimu Rungwe wajadili jinsi ya kuwalisha ubwabwa watoto wa shule, magufuli ni kama messi utamuwekaje fungu moja na kina kichuya?
Ushaona Messi anacheza ligi peke yake? hata ikiwa mechi na betis anatokea uwanjani. So mleteni na huyo messi wenu uwanjani apambane na kina kichuya.
 
Midahalo wafanye hao akina Ashim Rungwe, kila alivyofanya Magufuli Watanzania wote tunavijua na forecast yake alishatueleza tunajua sasa mdahalo kwake wa nini tena...!!!
 
Naona kuna wanajitoa ufahamu kuhusu midahalo, hawa wangependa watu wao wapite bila kupingwa. Kwenye mdahalo unaposimamia pana jaribiwa na unasikia wengine wanavyokuona na yale wanayotaka kufanya. Kama umekaa vibaya basi knock out inakuhusu. Mawazo yanajaribiwa na kama unabwabwaja tu utafahamika. Kusema sijui Kichuya au uko bize ni dharau kwa watanzania. Bring it on baby (tule na popcorn).
 
Mambo ya kushindanisha vidimbwi na bahari haya,kwani wakishindana wao kwa wao kuna shida gani
 
Hilo haliwezekan yule mzee ana hasira za karibu afu yule mwingine alipigwa shaba ivo ana uchungu sn asije akatema cheche
 
Mdahalo wa nini, ili iweke, kupima nini, wa kazi gani? Sisi ni vitendo tu kwa kwenda mbele SIYO MANENO. Wanaotaka midahalo waende Ubelgiji au Washington au London. Sisi hatuna muda huo. Tunasubiri NEC wafungue dimba la kampeni watu waingie kazini kueleza kilichofanyika 2015 - 2020 na kinachokuja kufanyika 2020 - 2035 AS PER CCM MANIFESTO. Kwa ushauri, huo Mdahalo kwani hawawezi kufanya Membe, Zitto, Lissu na wagombea wengine., mpaka awepo Rais Magufuli? Rais kwenye huo mdahalo wa nini? Yuko kazini both as the current President of the URT, Chief of Armed Forces and Chairman of CCM. No more no less. Twende kazi.
 
Alafu presidential debate iwe kwa kiingereza alafu chini inapita subtittle kwa kiswahili πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…