Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

Hapo naona kuna mgombea moja anaingia mitini, anaogopa atakujaulizwa akina Beny na Azori wako wapi na ni nani aliyeamurisha mgombea mwingine auwawe na kisha azikwe ndani ya masaa matatu.

Naona wagombea wawili tu ndio wanajitokeza kwenye mdahalo.
 
Sio tu yeye mwenyewe, hata chama chake cha MCC, vile wanamjua alivyo, hawawezi kumkubalia ahudhurie
Anaweza kupanic katikati ya mdahalo akaishia kusema wewe unanibishia mimi???? Hiiiiiiiiiiiiiiii
 
Jiwe hata akiwa Peke yake hawezi Kujieleza Sembuse Mdahalo?
Huyu anachoweza ni Ukatiri na Unyama tu. Sasa Baasi!
 
Utasikia kabadili wabongo kwenye Siasa ni wachache sana wanajali ni matumbo tu
 

Attachments

  • FC648C8D-08C7-4338-B81C-B92CA8A3D934.jpeg
    27.4 KB · Views: 2

 
Leo nilipata fursa ya kuangalia mdahalo kati ya Joe Biden na Donald Trump nikafikiria ingekuwa ni vizuri na nchi nyingine zikafuta utaratibu huu.

Sisi watu wa kawaida tukienda kwenye interview ya kazi tunapimwa kwa kuulizwa maswali. Mdahalo wa wagombea urais pia unatoa fursa kwa wananchi kupima vitu vingi kutoka kwa wagombea kama uwezo wa kufikiri, busara zao, jinsi gani watatekeleza ahadi zao n.k.

Nafikiri bila mdahalo wa wagombea urais wanasiasa hawawatendei haki wapiga kura.
 
JPM akijibu swali langu nampigia kura yangu kwanini Serekali ilijiondoa kwenye Mkataba wa kuendesha Mambo yake kwa uwazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…