Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,993
Nice ansTungetaka hivyo........tungesajili kwa majina yetu halisi.........
Tulia......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nice ansTungetaka hivyo........tungesajili kwa majina yetu halisi.........
Tulia......
DuhMimi navunja mwiko
Itakuwa le mutuz,ooooops!![emoji87] kumbe le mutuz unamjua tulibeba nae box wote atlanta georgiaInawezekana kabisa.
Kuna siku nilikuwa Boogie Woogie nimekaa kwa nje halafu kwa ndani alikuwa kakaa mdingi mmoja hivi. na tablet yake.
Mimi nilikuwa nipo nasoma JF kwenye iPad yangu naye alikuwa anasoma JF kwenye kifaa chake.
Nikajaribu kula chabo kuona ni nani lakini sikufanikiwa. Alikuwa mjanja kweli.
Nikabaki na maswali tu sijui atakuwa nani huyo!
Hongera kwa kuvunja mwiko mkuuMimi navunja mwiko
Ha ha ha haaaa..!
!
Pole kwa zile picha zako za juzi... Baadae nilisikia umejiua eti kweli?
BeautifulMimi navunja mwiko
yeye alikuwa anatumia "KIFAA" chake...wewe ulikuwa unatumia "IPAD" yako,tumekuelewa mkuu!Inawezekana kabisa.
Kuna siku nilikuwa Boogie Woogie nimekaa kwa nje halafu kwa ndani alikuwa kakaa mdingi mmoja hivi. na tablet yake.
Mimi nilikuwa nipo nasoma JF kwenye iPad yangu naye alikuwa anasoma JF kwenye kifaa chake.
Nikajaribu kula chabo kuona ni nani lakini sikufanikiwa. Alikuwa mjanja kweli.
Nikabaki na maswali tu sijui atakuwa nani huyo!
pm kuna amani huko?Mimi navunja mwiko
Dah! Bado kidoogo tuu.Mimi navunja mwiko
Mmh mashaalah al falaashMimi navunja mwiko