Ommy Dimpo na Gari LA kukwepa kodi: Eti TRA wabaini utofauti

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
TRA : "Ukwepaji kodi na Udanganyifu"

MACHAWA : " Tra yabaini Utofauti"

Katika hali ya kusikitisha , jumamosi usiku Palm BEach Cassino iliyopo Upanga Mashariki Dar es salaam, alionekana mbunge Baba Levo akimfokea na kumdhalilisha afisa mwajiriwa wa TRA DAr es salaam kwa maneno ambayo kwa umama wangu sitoyasema kinywani mwangu.

Afisa huyo mwenye nguvu za kisheria kukamata mali yeyote anayohisi haijalipiwa kodi, alikamata gari aina Benzi G-Wagon ya Ommy Dimpoz waliokuwa wanacheza kamari na Baba Levo hapo Kasino.

Gari hizo nyingi huingizwa toka south AFrika na wasanii wengi hudanganya miaka, chasis na usajili ama hujifanya inakuja kwa muda kumbe ndio mazima inabaki nchini.

yule jama wa TRA was very composed, kadhalilishwa huku jamii ikimshangilia baba levo anajua sheria kwa maswai aliyokuwa anamhoji TRA Staff, Huju kijawa wa TRA was vewry calm and compposed , apewe tuzo ya umahiri wa kazi, hakutukana, kukunja shati wala kupaniki maana wasanii wana media , baba levo anajivunia ubunge haram, akajua hawezi kuwabeat, akatulia.

UNFIKI UNAPOANZA:
Vyombo vya habari karribu vyote vimeandika "TRA YABAINI UTOFAUTI KATIKA KADI YA GARI" huu niuzwazwa, siyo utofauti ni kosa la jinai na uhujumu uchumi na muda huu Ommy dimpozalipaswa kuwa ndani bila dhamana na Baba Levo alipaswa kupaandishwa mahakamanani kwa kumdhalilisha TRA na kuzuia kazi halali ya afisa wa serali anayekusanya kodi.

Kwakuwa wasaniii wana mkono mrefu na hela, hiyo habari imeandikwa "sugar coatingh" kaka yangu Mshana Jr wana lugha yao wanatumia, yaani imewekwa positive way kwamba labda kuna makosa ya kiufundi flani yamefanyika wakati ni wizi.

JIULIZE raraa reree Nguchiro Mshana Jr John Heche ndio angekutwana G-WAgon Haijalipiwa Kodi , leo magazeti ,mitandaoni kungekuwaje?

u1.jpeg

u.jpeg
 
Kaatika hali ya kusikitisha , jumamosi usiku Palm BEach Kasino iliyopo Upanga Mashariki Dar es salaam, alionekana mbunge Baba Levo akimfokea na kumdhalilisha afisa mwajiriwa wa TRA DAr es salaam kwa maneno ambayo kwa umama wangu sitoyasema kinywani mwangu.

Afisa huyo mwenye nguvu za kisheria kukamata mali yeyote anayohisi haijalipiwa kodi, alikamata gari aina Benzi G-Wagon ya Ommy Dimpoz waliokuwa wanacheza kamari na Baba Levo hapo Kasino.

Gari hizo nyingi huingizwa toka south AFrika na wasanii wengi hudanganya miaka, chasis na usajili ama hujifanya inakuja kwa muda kumbe ndio mazima inabaki nchini.

yule jama wa TRA was very composed, kadhalilishwa huku jamii ikimshangilia baba levo anajua sheria kwa maswai aliyokuwa anamhoji TRA Staff, Huju kijawa wa TRA was vewry calm and compposed , apewe tuzo ya umahiri wa kazi, hakutukana, kukunja shati wala kupaniki maana wasanii wana media , baba levo anajivunia ubunge haram, akajua hawezi kuwabeat, akatulia.

UNFIKI UNAPOANZA:
Vyombo vya habari karribu vyote vimeandika "TRA YABAINI UTOFAUTI KATIKA KADI YA GARI" huu niuzwazwa, siyo utofauti ni kosa la jinai na uhujumu uchumi na muda huu Ommy dimpozalipaswa kuwa ndani bila dhamana na Baba Levo alipaswa kupaandishwa mahakamanani kwa kumdhalilisha TRA na kuzuia kazi halali ya afisa wa serali anayekusanya kodi.

Kwakuwa wasaniii wana mkono mrefu na hela, hiyo habari imeandikwa "sugar coatingh" kaka yangu Mshana Jr wana lugha yao wanatumia, yaani imewekwa positive way kwamba labda kuna makosa ya kiufundi flani yamefanyika wakati ni wizi.

JIULIZE raraa reree Nguchiro Mshana Jr John Heche ndio angekutwana G-WAgon Haijalipiwa Kodi , leo magazeti ,mitandaoni kungekuwaje?

View attachment 3680050

View attachment 3680049
Lile tukio lilitengenezwa tu ili kuwahamisheni kwenye mambo muhimu na ya msingi na ninyi mkajaa
 
Baba levo kajidhalilisha kwa viwango vya juu sana!

Ukweli wa mambo ulivyofunguka baada ya vurugu hizo unajumuisha mambo yafuatayo:
  • Ommy Dimpoz Amruka Baba Levo: Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ommy Dimpoz ametoa ufafanuzi na kujitenga kabisa na kitendo cha Baba Levo kuwakaripia maafisa wa serikali. Ommy ameeleza kuwa yeye alitoa ushirikiano kamili kwa TRA na hata alijaribu kumtuliza Baba Levo ili kuwaacha maafisa hao watekeleze majukumu yao.
  • Ommy Aomba Radhi: Msanii huyo ameomba radhi kwa jamii na serikali kwa picha mbaya iliyojitokeza, akisisitiza kuwa hana nia ya kuvunja sheria wala kuzuia utendaji kazi wa mamlaka.
  • Ufafanuzi wa Baba Levo: Baada ya wimbi kubwa la lawama na kuonekana amemuharibia rafiki yake, Baba Levo amesogeza upande wake wa stori na kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu kilichomfanya aingilie kati suala hilo usiku huo.
 
Tukiachana na taarifa ila hii nigari Kali mkuu
Tatizo hawa jamaa wanapenda sifa ili kuonekana wako vizuri mtaani, kumbe wanaishi kwa kukwepa kodi.

Hiki alichokifanya huyu Dimpoz ndio michezo wanayocheza maboss wake kwenye biashara zao, amejifunza kwao.

Yale mapesa mengi wanayotoa kusajili wachezaji wa kawaida ndio hupatikana kwa michezo yao hii michafu, bahati mbaya wanalindwa na mamlaka.

Mungu ameamua kuwaumbua sasa.
 
Bro, TRA wakiamua kuwa serious kidogo tu, hizo yard zinafungwa, wachilia mbali magari ya wasanii.
 
Mimi mwenye kujuwa anijurishe tu, huyu Ommy Dimpoz sijamsikiaga kutowa nyimbo kitambo tu, sasa nauliza source of income yake ni nini?

Kuna wakati kufuatiliana ni muhimu ili kuokowa vijana wetu wasitamani maisha ya watu ambayo hawajui undani wake.

Watu kama Lugumi mimi huwa siwashangai najuwa utajiri wao source ni network ya kula na wakubwa, ila hawa Ommy Dimpoz Category ndio tunapaswa kuwafuatilia.
 
Hiyo kesi faini yake ni usd 10,000 na kulipia kodi iliyokwepa kulipa wakati gari inaingia hakuna jipya hapo wazee na gari atarudishiwa na kuendelea na maisha yake..
Wachimba chumvi huwa tunapenda sana kusikia matajiri wakipata matatizo ndio faraja yetu hizo kesi zipo nyingi TRA na kila mkoa siyo kwa magari tu kwa vitu vingi vya biashara pia.
 
Mkuu hizo gari ni rand 800,000 kuendelea sio hatari kivile kama unavyosikia hayo magari yamejaa Pretoria show na four ways wanatafuta wateja ndio maana mtu akiweza kununua anatafuta fursa ya kukwepa kodi huko..
 
Hiyo kesi faini yake ni usd 10,000 na kulipia kodi iliyokwepa kulipa wakati gari inaingia hakuna jipya hapo wazee na gari atarudishiwa na kuendelea na maisha yake..
Wachimba chumvi huwa tunapenda sana kusikia matajiri wakipata matatizo ndio faraja yetu hizo kesi zipo nyingi TRA na kila mkoa siyo kwa magari tu kwa vitu vingi vya biashara pia.
Wacha kumtetea mwizi, kama hiyo pesa unaiona ndogo kwanini hakulipa mapema?

Dimpoz kukwepa kodi unaona poa, ila kama anekuwa somebody else ungekuwa umeshika bango kumponda!.

Mentality ya ajabu sana.
 
Wacha kumtetea mwizi, kama hiyo pesa unaiona ndogo kwanini hakulipa mapema?
Mimi namtetea mwizi aisee mafuta watu wanachezea bandarini hapo pamoja na magari ya viongozi mengi yanapita bila kulipia kodi watu wanaleta truck 100 zinapita Tunduma hapo bila kulipiwa kitu asiee hiyo Nchi si watu wanaichezea wanavyotaka kwani hizo mambo zimeanza leo au kwa kuwa wewe haupo kwenye hiyo industry.
 
Mimi mwenye kujuwa anijurishe tu, huyu Ommy Dimpoz sijamsikiaga kutowa nyimbo kitambo tu, sasa nauliza source of income yake ni nini?

Kuna wakati kufuatiliana ni muhimu ili kuokowa vijana wetu wasitamani maisha ya watu ambayo hawajui undani wake.

Watu kama Lugumi mimi huwa siwashangai najuwa utajiri wao source ni network ya kula na wakubwa, ila hawa Ommy Dimpoz Category ndio tunapaswa kuwafuatilia.
Balozi wa bidhaa za gsm , maduka yote
 
Ulichouliza natamani kupata majibu yake pia

Dimpoz anapata wapi pesa? Kwasababu ni kweli haimbi tena, japo simfuatilii lakini sina taarifa ya yeye kumiliki biashara yoyote

Na maisha yake sio ya kinyonge
 
Back
Top Bottom