Ommy Dimpo na Gari LA kukwepa kodi: Eti TRA wabaini utofauti

Ommy Dimpo na Gari LA kukwepa kodi: Eti TRA wabaini utofauti

Mkuu usipanic sana haya mambo hayahitaji hasira.

Mimi nilikuwa nadaiwa zaidi ya tsh million 100 na TRA kwa uzembe wa kutofile return na sikufanya biashara yoyote tulikaa chini deni likafutwa (Wave).
Hiyo milion 100 haikuwa Kodi zilikuwa ni Penalty na interests za kutofile returns.


Yani udaiwe Kodi milion 100 usamehewe Malawi
 
Tatizo hawa jamaa wanapenda sifa ili kuonekana wako vizuri mtaani, kumbe wanaishi kwa kukwepa kodi.

Hiki alichokifanya huyu Dimpoz ndio michezo wanayocheza maboss wake kwenye biashara zao, amejifunza kwao.

Yale mapesa mengi wanayotoa kusajili wachezaji wa kawaida ndio hupatikana kwa michezo yao hii michafu, bahati mbaya wanalindwa na mamlaka.

Mungu ameamua kuwaumbua sasa.
Na Yale mabilioni 100 ya mikopo na kwenda Sauzi vipi?
 
Wanalipishwa faini ya usd 10,000 na kulipia kodi aliyokwepa mwanzo hayo magari huko mwanza walikamata karibu 80 kwa mkoa mmoja tu watu wanatumia namba za GP harafu muda umeisha na kodi hawajalipia wengine wamelipia pungufu kama hivyo.
Sio mbaya kama watalipia nakisi ya kodi na faini.
 
Sio mbaya kama watalipia nakisi ya kodi na faini.
Hizo kesi zipo nyingi sio magari hayo tu mpaka kwenye truck sema hiyo wakosaji wenyewe ndio wamesambaza taarifa ila kwa TRA ingeisha kimya kinya wanachotaka wao ni hela tu sio mambo mengine..
 
TRA wanakamata hadi Trela unakuta mtu kachukua trela SA Afrit harafu kodi inasoma lilitoka Japan hizo gari hata ukibadili chases wanajua Fortuner ukiipindua wapi utapata namba yake na mwaka wake watu wanataka kodi kupata Elimu ndogo hiyo kwa gharama ndogo sio big ishu sasa hivi..
 
Ewe Dokta MATOLA MAVI, maisha yako yamejaa shida na dhiki sana, tafuta biashara ya kuchangamsha makebo yako uwe milionea kama Ommy Dimpoz kwa Pouzz.

Vinginevyo utasaga sana nyayo. Hautamiliki VIEITEE maisha yako yote mpaka unadanja.

Umbea tu. Kaone vile! Ahahahaa :1Head:

Cc: Lamomy Tlaatlaah secretarybird cocastic Monetary doctor binti kiziwi Depal Seran Kalpana Dr. Mariposa ephen_
Mwanaume mwenye korodani mbili anakaa chini kujua kazi ya mtu aliyemzidi maisha na umaarufu

zaidi sana anajulikana huku kwa fake I'd

Anafikiria kila mtu anategemea kujiuza kama afanyavyo apate kula !!!

Huyo Hana akili na u platinum sjui alitoa nn akapewa sengepori hili
 
Na we jiulize, walishindwa vipi kuthibitisha mwaka na aina ya gari ikiwa bado haijatoka bandarini.
 
Mimi mwenye kujuwa anijurishe tu, huyu Ommy Dimpoz sijamsikiaga kutowa nyimbo kitambo tu, sasa nauliza source of income yake ni nini?

Kuna wakati kufuatiliana ni muhimu ili kuokowa vijana wetu wasitamani maisha ya watu ambayo hawajui undani wake.

Watu kama Lugumi mimi huwa siwashangai najuwa utajiri wao source ni network ya kula na wakubwa, ila hawa Ommy Dimpoz Category ndio tunapaswa kuwafuatilia.
Ukiendelea hivi utapumuliwa mgongoni sio mda
 
Back
Top Bottom