Ommy Dimpo na Gari LA kukwepa kodi: Eti TRA wabaini utofauti

Ommy Dimpo na Gari LA kukwepa kodi: Eti TRA wabaini utofauti

Wacha kumtetea mwizi, kama hiyo pesa unaiona ndogo kwanini hakulipa mapema?

Dimpoz kukwepa kodi unaona poa, ila kama anekuwa somebody else ungekuwa umeshika bango kumponda!.

Mentality ya ajabu sana.
Mkuu usipanic sana haya mambo hayahitaji hasira.

Mimi nilikuwa nadaiwa zaidi ya tsh million 100 na TRA kwa uzembe wa kutofile return na sikufanya biashara yoyote tulikaa chini deni likafutwa (Wave).
 
Mimi namtetea mwizi aisee mafuta watu wanachezea bandarini hapo pamoja na magari ya viongozi mengi yanapita bila kulipia kodi watu wanaleta truck 100 zinapita Tunduma hapo bila kulipiwa kitu asiee hiyo Nchi si watu wanaichezea wanavyotaka kwani hizo mambo zimeanza leo au kwa kuwa wewe haupo kwenye hiyo industry.

Wanao lipa kodi 100% nchi hii ni wafanyakazi tu, Ila wengine woote wanakwepa kodi ila hawajijui.

Ushai enda kununua kitu dukani labda 600k ila muuzaji anaomba tena kwa kuku bembeleza akuandikie risiti ya 200k?

Huku sio kukwepa kodi? Sio kuhujumu uchumi? Vipi mtu kama huyu akipata access ya kua kiongozi wa nchi atalipa kodi? Hata iba pesa za Umma?
 
Sema kiwango cha kodi Tanzania ni kikubwa sana aisee na pia watu wanaweza wakawa wanalipa kodi mara mbili kwa bidhaa moja hiyo hiyo..
 
Wanalipishwa faini ya usd 10,000 na kulipia kodi aliyokwepa mwanzo hayo magari huko mwanza walikamata karibu 80 kwa mkoa mmoja tu watu wanatumia namba za GP harafu muda umeisha na kodi hawajalipia wengine wamelipia pungufu kama hivyo.
Usisahau Interpol nao huwa na oparesheni yao ya kukamata magari ya wizi yalioibiwa South Africa.

Swali nchi nzima border yote imepigwa fence hizo gari zinatokaje?
 
Usisahau Interpol nao huwa na oparesheni yao ya kukamata magari ya wizi yalioibiwa South Africa.

Swali nchi nzima border yote imepigwa fence hizo gari zinatokaje?
Wanatoa kwa michongo zile na pia unakuta nyingi zinatoka kupitia Mozambique ni rahisi sana kule huko Zimbabwe wanapitisha mtoni na muda mwingi wanakamatwa na Botswana ni wakala wa kukamata gari za moto kutoka SA akikamata analipwa yule.
 
Naona wengi mnamtetea huyo msenge wa tra.kiufupi baba levo alikuwa sahihi kuuliza kuna tatizo gani angejibiwa tu na kueleweshwa kuwa kuna tatizo fulani bas.Sasa mtu anakuuliza una mwambia muulize ommy kwamba yeye hawezi kuongea kwa kipi alichonacho cha maana hadi asiongee.Halafu mnakamata usiku wa manane na polisi asiye na nguo rasm je wangeshambuliwa na wananchi kwa kuwadhania ni watekaji ?
 
Back
Top Bottom