TRA : "Ukwepaji kodi na Udanganyifu"
MACHAWA : " Tra yabaini Utofauti"
Katika hali ya kusikitisha , jumamosi usiku Palm BEach Cassino iliyopo Upanga Mashariki Dar es salaam, alionekana mbunge Baba Levo akimfokea na kumdhalilisha afisa mwajiriwa wa TRA DAr es salaam kwa maneno ambayo kwa umama wangu sitoyasema kinywani mwangu.
Afisa huyo mwenye nguvu za kisheria kukamata mali yeyote anayohisi haijalipiwa kodi, alikamata gari aina Benzi G-Wagon ya Ommy Dimpoz waliokuwa wanacheza kamari na Baba Levo hapo Kasino.
Gari hizo nyingi huingizwa toka south AFrika na wasanii wengi hudanganya miaka, chasis na usajili ama hujifanya inakuja kwa muda kumbe ndio mazima inabaki nchini.
yule jama wa TRA was very composed, kadhalilishwa huku jamii ikimshangilia baba levo anajua sheria kwa maswai aliyokuwa anamhoji TRA Staff, Huju kijawa wa TRA was vewry calm and compposed , apewe tuzo ya umahiri wa kazi, hakutukana, kukunja shati wala kupaniki maana wasanii wana media , baba levo anajivunia ubunge haram, akajua hawezi kuwabeat, akatulia.
UNFIKI UNAPOANZA:
Vyombo vya habari karribu vyote vimeandika "TRA YABAINI UTOFAUTI KATIKA KADI YA GARI" huu niuzwazwa, siyo utofauti ni kosa la jinai na uhujumu uchumi na muda huu Ommy dimpozalipaswa kuwa ndani bila dhamana na Baba Levo alipaswa kupaandishwa mahakamanani kwa kumdhalilisha TRA na kuzuia kazi halali ya afisa wa serali anayekusanya kodi.
Kwakuwa wasaniii wana mkono mrefu na hela, hiyo habari imeandikwa "sugar coatingh" kaka yangu
Mshana Jr wana lugha yao wanatumia, yaani imewekwa positive way kwamba labda kuna makosa ya kiufundi flani yamefanyika wakati ni wizi.
JIULIZE
raraa reree Nguchiro Mshana Jr John Heche ndio angekutwana G-WAgon Haijalipiwa Kodi , leo magazeti ,mitandaoni kungekuwaje?
View attachment 3680050
View attachment 3680049