Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Lile tukio lilitengenezwa tu ili kuwahamisheni kwenye mambo muhimu na ya msingi na ninyi mkajaaKaatika hali ya kusikitisha , jumamosi usiku Palm BEach Kasino iliyopo Upanga Mashariki Dar es salaam, alionekana mbunge Baba Levo akimfokea na kumdhalilisha afisa mwajiriwa wa TRA DAr es salaam kwa maneno ambayo kwa umama wangu sitoyasema kinywani mwangu.
Afisa huyo mwenye nguvu za kisheria kukamata mali yeyote anayohisi haijalipiwa kodi, alikamata gari aina Benzi G-Wagon ya Ommy Dimpoz waliokuwa wanacheza kamari na Baba Levo hapo Kasino.
Gari hizo nyingi huingizwa toka south AFrika na wasanii wengi hudanganya miaka, chasis na usajili ama hujifanya inakuja kwa muda kumbe ndio mazima inabaki nchini.
yule jama wa TRA was very composed, kadhalilishwa huku jamii ikimshangilia baba levo anajua sheria kwa maswai aliyokuwa anamhoji TRA Staff, Huju kijawa wa TRA was vewry calm and compposed , apewe tuzo ya umahiri wa kazi, hakutukana, kukunja shati wala kupaniki maana wasanii wana media , baba levo anajivunia ubunge haram, akajua hawezi kuwabeat, akatulia.
UNFIKI UNAPOANZA:
Vyombo vya habari karribu vyote vimeandika "TRA YABAINI UTOFAUTI KATIKA KADI YA GARI" huu niuzwazwa, siyo utofauti ni kosa la jinai na uhujumu uchumi na muda huu Ommy dimpozalipaswa kuwa ndani bila dhamana na Baba Levo alipaswa kupaandishwa mahakamanani kwa kumdhalilisha TRA na kuzuia kazi halali ya afisa wa serali anayekusanya kodi.
Kwakuwa wasaniii wana mkono mrefu na hela, hiyo habari imeandikwa "sugar coatingh" kaka yangu Mshana Jr wana lugha yao wanatumia, yaani imewekwa positive way kwamba labda kuna makosa ya kiufundi flani yamefanyika wakati ni wizi.
JIULIZE raraa reree Nguchiro Mshana Jr John Heche ndio angekutwana G-WAgon Haijalipiwa Kodi , leo magazeti ,mitandaoni kungekuwaje?
View attachment 3680050
View attachment 3680049
Kaa Pale Mataa ya Morocco , ijumaa , jumamosi na jumapili utaona mengi yanaendeshwa na wasanii hayana namba, pamoja na Vogue, ndio hizi wanatupigha hawalipi kodi wamkaa nyuma ya mike wanasema "fanyeni kazi"Tukiachana na taarifa ila hii nigari Kali mkuu
Tatizo hawa jamaa wanapenda sifa ili kuonekana wako vizuri mtaani, kumbe wanaishi kwa kukwepa kodi.Tukiachana na taarifa ila hii nigari Kali mkuu
Bro, TRA wakiamua kuwa serious kidogo tu, hizo yard zinafungwa, wachilia mbali magari ya wasanii.Tatizo hawa jamaa wanapenda sifa ili kuonekana wako vizuri mtaani, kumbe wanaishi kwa kukwepa kodi.
Hiki alichokifanya huyu Dimpoz ndio michezo wanayocheza maboss wake kwenye biashara zao, amejifunza kwao.
Yale mapesa mengi wanayotoa kusajili wachezaji wa kawaida ndio hupatikana kwa michezo yao hii michafu, bahati mbaya wanalindwa na mamlaka.
Mungu ameamua kuwaumbua sasa.
Sioni tatizo, kwani hata hao walimpachika Ubunge wanamjuwa kama ni jokeri na mtu wa kubeti plus Chawa promax.Mbunge yupo kasino anacheza kamari, only in Tanzania!.
TRA wataimaliza hii issue kimya kimya, connection itambeba huyo mwizi.Bro, TRA wakiamua kuwa serious kidogo tu, hizo yard zinafungwa, wachilia mbali magari ya wasanii.
Mkuu hizo gari ni rand 800,000 kuendelea sio hatari kivile kama unavyosikia hayo magari yamejaa Pretoria show na four ways wanatafuta wateja ndio maana mtu akiweza kununua anatafuta fursa ya kukwepa kodi huko..Mimi mwenye kujuwa anijurishe tu, huyu Ommy Dimpoz sijamsikiaga kutowa nyimbo kitambo tu, sasa nauliza source of income yake ni nini?
Kuna wakati kufuatiliana ni muhimu ili kuokowa vijana wetu wasitamani maisha ya watu ambayo hawajui undani wake.
Watu kama Lugumi mimi huwa siwashangai najuwa utajiri wao source ni network ya kula na wakubwa, ila hawa Ommy Dimpoz Category ndio tunapaswa kuwafuatilia.
Wacha kumtetea mwizi, kama hiyo pesa unaiona ndogo kwanini hakulipa mapema?Hiyo kesi faini yake ni usd 10,000 na kulipia kodi iliyokwepa kulipa wakati gari inaingia hakuna jipya hapo wazee na gari atarudishiwa na kuendelea na maisha yake..
Wachimba chumvi huwa tunapenda sana kusikia matajiri wakipata matatizo ndio faraja yetu hizo kesi zipo nyingi TRA na kila mkoa siyo kwa magari tu kwa vitu vingi vya biashara pia.
Hata hivyo bado life style ya Ommy ina maswali mengi kuliko majibu.Mkuu hizo gari ni rand 800,000 kuendelea sio hatari kivile kama unavyosikia hayo magari yamejaa Pretoria show na four ways wanatafuta wateja ndio maana mtu akiweza kununua anatafuta fursa ya kukwepa kodi huko..
Mimi namtetea mwizi aisee mafuta watu wanachezea bandarini hapo pamoja na magari ya viongozi mengi yanapita bila kulipia kodi watu wanaleta truck 100 zinapita Tunduma hapo bila kulipiwa kitu asiee hiyo Nchi si watu wanaichezea wanavyotaka kwani hizo mambo zimeanza leo au kwa kuwa wewe haupo kwenye hiyo industry.Wacha kumtetea mwizi, kama hiyo pesa unaiona ndogo kwanini hakulipa mapema?
Balozi wa bidhaa za gsm , maduka yoteMimi mwenye kujuwa anijurishe tu, huyu Ommy Dimpoz sijamsikiaga kutowa nyimbo kitambo tu, sasa nauliza source of income yake ni nini?
Kuna wakati kufuatiliana ni muhimu ili kuokowa vijana wetu wasitamani maisha ya watu ambayo hawajui undani wake.
Watu kama Lugumi mimi huwa siwashangai najuwa utajiri wao source ni network ya kula na wakubwa, ila hawa Ommy Dimpoz Category ndio tunapaswa kuwafuatilia.
Mimi mwenye kujuwa anijurishe tu, huyu Ommy Dimpoz sijamsikiaga kutowa nyimbo kitambo tu, sasa nauliza source of income yake ni nini?
Kuna wakati kufuatiliana ni muhimu ili kuokowa vijana wetu wasitamani maisha ya watu ambayo hawajui undani wake.
Watu kama Lugumi mimi huwa siwashangai najuwa utajiri wao source ni network ya kula na wakubwa, ila hawa Ommy Dimpoz Category ndio tunapaswa kuwafuatilia.