Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Mkuu usipanic sana haya mambo hayahitaji hasira.Wacha kumtetea mwizi, kama hiyo pesa unaiona ndogo kwanini hakulipa mapema?
Dimpoz kukwepa kodi unaona poa, ila kama anekuwa somebody else ungekuwa umeshika bango kumponda!.
Mentality ya ajabu sana.
Kwamba sio wali nazi tena?Tukiachana na taarifa ila hii nigari Kali mkuu
Mimi namtetea mwizi aisee mafuta watu wanachezea bandarini hapo pamoja na magari ya viongozi mengi yanapita bila kulipia kodi watu wanaleta truck 100 zinapita Tunduma hapo bila kulipiwa kitu asiee hiyo Nchi si watu wanaichezea wanavyotaka kwani hizo mambo zimeanza leo au kwa kuwa wewe haupo kwenye hiyo industry.
Bado hujanishawishi, unaujuwa ukweli mdogo sana, wasanii wote wakubwa ni mabalozi wa product mbalimbali.Balozi wa bidhaa za gsm , maduka yote
Upo sahihi kwa wafanyabiashara kudaiwa na TRA ni kawaida tu na mambo yanaisha vizuri kisheria.Mkuu usipanic sana haya mambo hayahitaji hasira.
Mimi nilikuwa nadaiwa zaidi ya tsh milliin 100 na TRA kwa uzembe wa kutofile return na sikufanya biashara yoyote tulikaa chini deni likafutwa (Wave).
Sema kiwango cha kodi Tanzania ni kikubwa sana aisee na pia watu wanaweza wakawa wanalipa kodi mara mbili kwa bidhaa moja hiyo hiyo..Wanao lipa kodi 100% nchi hii ni wafanyakazi tu, Ila wengine woote wanakwepa kodi ila hawajijui.
Ushai enda kununua kitu dukani labda 600k ila muuzaji anaomba tena kwa kuku bembeleza akuandikie risiti ya 200k?
Huku sio kukwepa kodi? Sio kuhujumu uchumi? Vipi mtu kama huyu akipata access ya kua kiongozi wa nchi atalipa kodi? Hata iba pesa za Umma?
Usisahau Interpol nao huwa na oparesheni yao ya kukamata magari ya wizi yalioibiwa South Africa.Wanalipishwa faini ya usd 10,000 na kulipia kodi aliyokwepa mwanzo hayo magari huko mwanza walikamata karibu 80 kwa mkoa mmoja tu watu wanatumia namba za GP harafu muda umeisha na kodi hawajalipia wengine wamelipia pungufu kama hivyo.
Wanatoa kwa michongo zile na pia unakuta nyingi zinatoka kupitia Mozambique ni rahisi sana kule huko Zimbabwe wanapitisha mtoni na muda mwingi wanakamatwa na Botswana ni wakala wa kukamata gari za moto kutoka SA akikamata analipwa yule.Usisahau Interpol nao huwa na oparesheni yao ya kukamata magari ya wizi yalioibiwa South Africa.
Swali nchi nzima border yote imepigwa fence hizo gari zinatokaje?
Sijui unaandika vitu gani.Mkuu usipanic sana haya mambo hayahitaji hasira.
Mimi nilikuwa nadaiwa zaidi ya tsh million 100 na TRA kwa uzembe wa kutofile return na sikufanya biashara yoyote tulikaa chini deni likafutwa (Wave).
Na wenye mbunge wao haram wanasema "haijawahi kutokea kupata mbunge kama huyu" only in Tanganyika!Mbunge yupo kasino anacheza kamari, only in Tanzania!.
TRA wana kazi kweli kweli.Ulichouliza natamani kupata majibu yake pia
Dimpoz anapata wapi pesa? Kwasababu ni kweli haimbi tena, japo simfuatilii lakini sina taarifa ya yeye kumiliki biashara yoyote
Na maisha yake sio ya kinyonge
Siyo tu kosa, ni uhujumu uchumi.Sijui unaandika vitu gani.
Dimpoz kakwepa kodi, ni kosa kisheria.
Acheni kulegeza sauti.
Hivi umeshawahi hata kufanya discution na commisioner wa kodi au Manager wa branch?Sijui unaandika vitu gani.
Dimpoz kakwepa kodi, ni kosa kisheria.
Acheni kulegeza sauti.
Unaongea na mtu anaewaza kulipwa kiinua mgongo ndio afanye biashara akikutana na hizi mambo anaenda kijijini.Hivi umeshawahi hata kufanya discution na commisioner wa kodi au Manager wa branch?
Nikishafanya nae discussion ndio aniambie kukwepa kulipa kodi sio kosa kisheria?!Hivi umeshawahi hata kufanya discution na commisioner wa kodi au Manager wa branch?