Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
- Thread starter
-
- #41
Unajielekeza vibaya na unapenda kona kona, huna huruma na fedha za serikali, baba levo alikuwa anatumia umaarufu na ubunge wake kudhalilisha afisa TRA.Naona wengi mnamtetea huyo msenge wa tra.kiufupi baba levo alikuwa sahihi kuuliza kuna tatizo gani angejibiwa tu na kueleweshwa kuwa kuna tatizo fulani bas.Sasa mtu anakuuliza una mwambia muulize ommy kwamba yeye hawezi kuongea kwa kipi alichonacho cha maana hadi asiongee.Halafu mnakamata usiku wa manane na polisi asiye na nguo rasm je wangeshambuliwa na wananchi kwa kuwadhania ni watekaji ?
Kumbe ulikua na jibu lako🤔Bado hujanishawishi, unaujuwa ukweli mdogo sana, wasanii wote wakubwa ni mabalozi wa product mbalimbali.
Wenye m'bunge wao wanatamba naye vibaya mno, Waha wauza kashata na maji kariakoo.Mbunge yupo kasino anacheza kamari, only in Tanzania!.
Awaumbue nani? Huu ni mchezo unachezwa, huyu Ommy hii Gari anayo leo? Mda wote huko kwanini wasimkamate iwe wakati huu?Tatizo hawa jamaa wanapenda sifa ili kuonekana wako vizuri mtaani, kumbe wanaishi kwa kukwepa kodi.
Hiki alichokifanya huyu Dimpoz ndio michezo wanayocheza maboss wake kwenye biashara zao, amejifunza kwao.
Yale mapesa mengi wanayotoa kusajili wachezaji wa kawaida ndio hupatikana kwa michezo yao hii michafu, bahati mbaya wanalindwa na mamlaka.
Mungu ameamua kuwaumbua sasa.
Alipe kodi tu, timing ya kutumia gari haina maana kwa sasa.Awaumbue nani? Huu ni mchezo unachezwa, huyu Ommy hii Gari anayo leo? Mda wote huko kwanini wasimkamate iwe wakati huu?
Akili kumkichwa.
Basi sawaAlipe kodi tu, timing ya kutumia gari haina maana kwa sasa.
Sasa kusiwe na Double Standard ,Ukwepaji kodi ni UHUJUMU uchumi ,huyo inatakiwa akamatwe awekwe NDANI ,wakili wake afanya PLEA BARGAIN na DPP alipe hela aliyokwepa kisha atoke nje.TRA : "Ukwepaji kodi na Udanganyifu"
MACHAWA : " Tra yabaini Utofauti"
Katika hali ya kusikitisha , jumamosi usiku Palm BEach Cassino iliyopo Upanga Mashariki Dar es salaam, alionekana mbunge Baba Levo akimfokea na kumdhalilisha afisa mwajiriwa wa TRA DAr es salaam kwa maneno ambayo kwa umama wangu sitoyasema kinywani mwangu.
Afisa huyo mwenye nguvu za kisheria kukamata mali yeyote anayohisi haijalipiwa kodi, alikamata gari aina Benzi G-Wagon ya Ommy Dimpoz waliokuwa wanacheza kamari na Baba Levo hapo Kasino.
Gari hizo nyingi huingizwa toka south AFrika na wasanii wengi hudanganya miaka, chasis na usajili ama hujifanya inakuja kwa muda kumbe ndio mazima inabaki nchini.
yule jama wa TRA was very composed, kadhalilishwa huku jamii ikimshangilia baba levo anajua sheria kwa maswai aliyokuwa anamhoji TRA Staff, Huju kijawa wa TRA was vewry calm and compposed , apewe tuzo ya umahiri wa kazi, hakutukana, kukunja shati wala kupaniki maana wasanii wana media , baba levo anajivunia ubunge haram, akajua hawezi kuwabeat, akatulia.
UNFIKI UNAPOANZA:
Vyombo vya habari karribu vyote vimeandika "TRA YABAINI UTOFAUTI KATIKA KADI YA GARI" huu niuzwazwa, siyo utofauti ni kosa la jinai na uhujumu uchumi na muda huu Ommy dimpozalipaswa kuwa ndani bila dhamana na Baba Levo alipaswa kupaandishwa mahakamanani kwa kumdhalilisha TRA na kuzuia kazi halali ya afisa wa serali anayekusanya kodi.
Kwakuwa wasaniii wana mkono mrefu na hela, hiyo habari imeandikwa "sugar coatingh" kaka yangu Mshana Jr wana lugha yao wanatumia, yaani imewekwa positive way kwamba labda kuna makosa ya kiufundi flani yamefanyika wakati ni wizi.
JIULIZE raraa reree Nguchiro Mshana Jr John Heche ndio angekutwana G-WAgon Haijalipiwa Kodi , leo magazeti ,mitandaoni kungekuwaje?
View attachment 3680050
View attachment 3680049
Anaingiza mpunga mrefu sana ,yeye ndiyo Brand Manager wa bidhaa zote za GSM ,yeye ndiyo mtu wa matangazo...Kwahiyo GSM anailipa kampuni ya Ommy Nyembo kwenye matangazo.Mimi mwenye kujuwa anijurishe tu, huyu Ommy Dimpoz sijamsikiaga kutowa nyimbo kitambo tu, sasa nauliza source of income yake ni nini?
Kuna wakati kufuatiliana ni muhimu ili kuokowa vijana wetu wasitamani maisha ya watu ambayo hawajui undani wake.
Watu kama Lugumi mimi huwa siwashangai najuwa utajiri wao source ni network ya kula na wakubwa, ila hawa Ommy Dimpoz Category ndio tunapaswa kuwafuatilia.
Ewe Dokta MATOLA MAVI, maisha yako yamejaa shida na dhiki sana, tafuta biashara ya kuchangamsha makebo yako uwe milionea kama Ommy Dimpoz kwa Pouzz.Mimi mwenye kujuwa anijurishe... Watu kama Lugumi mimi huwa siwashangai najuwa utajiri wao source ni network ya kula na wakubwa, ila hawa Ommy Dimpoz Category ndio tunapaswa kuwafuatilia.
Ngoja urushiwe balistki, Leo ni Leo.Ewe Dokta MATOLA MAVI, maisha yako yamejaa shida na dhiki sana, tafuta biashara ya kuchangamsha makebo yako uwe milionea kama Omy Dimpoz kwa pozi.
Vingenevyo utasaga sana nyayo. Hautamiliki VIEITEE maishabyako yote mpaka unadanja.
Umbea tu. Kaone vile! Ahahahaa
Cc: Lamomy Tlaatlaah secretarybird cocastic Monetary doctor binti kiziwi Depal Seran Kalpana Dr. Mariposa ephen_
Hata TZ ni kesi kubwa sana ya UHUJUMU UCHUMI ,nitashangaa kama bado YUPO NJE.huku kwetu USA hii ni bonge la kesi, Wabongo wa nawagawa kuchukulia poa haya mambo nyeti.
Nimejipanga kimkakati, ataacha ndala mshamba huyoNgoja urushiwe balistki, Leo ni Leo.
USA Raisi wao Trump ndio baba wa makasino. Mambo ya kawaida haya.Mbunge yupo kasino anacheza kamari, only in Tanzania!.
Ngoja aje, mi nitakuwa refa.Nimejipanga kimkakati, ataacha ndala mshamba huyo
Ameenda kuchimba dawa ngoja arudi nimbomoe vizuriNgoja aje, mi nitakuwa refa.
Hahaha 😂Ameenda kuchimba dawa ngoja arudi nimbomoe vizuri
Sema ni bonge la ndinga