Ommy Dimpo na Gari LA kukwepa kodi: Eti TRA wabaini utofauti

Mkuu usipanic sana haya mambo hayahitaji hasira.

Mimi nilikuwa nadaiwa zaidi ya tsh million 100 na TRA kwa uzembe wa kutofile return na sikufanya biashara yoyote tulikaa chini deni likafutwa (Wave).
Hiyo milion 100 haikuwa Kodi zilikuwa ni Penalty na interests za kutofile returns.


Yani udaiwe Kodi milion 100 usamehewe Malawi
 
Na Yale mabilioni 100 ya mikopo na kwenda Sauzi vipi?
 
Wanalipishwa faini ya usd 10,000 na kulipia kodi aliyokwepa mwanzo hayo magari huko mwanza walikamata karibu 80 kwa mkoa mmoja tu watu wanatumia namba za GP harafu muda umeisha na kodi hawajalipia wengine wamelipia pungufu kama hivyo.
Sio mbaya kama watalipia nakisi ya kodi na faini.
 
Sio mbaya kama watalipia nakisi ya kodi na faini.
Hizo kesi zipo nyingi sio magari hayo tu mpaka kwenye truck sema hiyo wakosaji wenyewe ndio wamesambaza taarifa ila kwa TRA ingeisha kimya kinya wanachotaka wao ni hela tu sio mambo mengine..
 
TRA wanakamata hadi Trela unakuta mtu kachukua trela SA Afrit harafu kodi inasoma lilitoka Japan hizo gari hata ukibadili chases wanajua Fortuner ukiipindua wapi utapata namba yake na mwaka wake watu wanataka kodi kupata Elimu ndogo hiyo kwa gharama ndogo sio big ishu sasa hivi..
 
Mwanaume mwenye korodani mbili anakaa chini kujua kazi ya mtu aliyemzidi maisha na umaarufu

zaidi sana anajulikana huku kwa fake I'd

Anafikiria kila mtu anategemea kujiuza kama afanyavyo apate kula !!!

Huyo Hana akili na u platinum sjui alitoa nn akapewa sengepori hili
 
Na we jiulize, walishindwa vipi kuthibitisha mwaka na aina ya gari ikiwa bado haijatoka bandarini.
 
Ukiendelea hivi utapumuliwa mgongoni sio mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…