Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hayo yote mimi yamenipata....ila niliamua kusamehe.......Vinavyoua upendo kwa mzazi
1.Kutelekezwa utotoni
2.Talaka hapa baba na mama nyote msitegemee kupata upendo toka kwa watoto,
Kaamua kuishi maisha ya kipekeeYa Ngoswe.... kuna Ommy Dimpoz, kuna Mond... na kuna Tupac
Msikie Tupac nae alivochefukwa kwenye DEAR MAMA na wala hakuficha hasira zake kwa Babake:
"No love from my daddy, 'cause the coward wasn't there
He passed away and I didn't cry, 'cause my anger
Wouldn't let me feel for a stranger
They say I'm wrong and I'm heartless, but all along
I was lookin' for a father, he was gone...
Soma kwa makini hiyo mistari miwili niliyoBold.... ndicho kinachomsibu Ommy Dimpoz
Sio kweli,mama ake amekufa mdogo Sana ommy kalelewa na bibi yake,na wajomba.Keshaathirika na sumu ya mama
Huyu baba acha yamkute ,kwa hili clouds wamechemka mnooo Hana upendo ht kidogo BTW si Ana watoto wengine wamsaidie aachane na OmmyKwa upande mmoja yupo sawa, mkuu. Imagine mama yake alikata moto akiwa darasa la pili halafu mzee akamkaushiaga ivoivo!
[emoji39][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji39]Kwaio Huyo mzee nae anataka akapige picha na wachezaji wa united
Kweli sijawahi kuskia mtoto akimkataa Baba tajiri kwa madai kwamba alimtelekeza mama yake, Lakini watoto wakitajirika wanawakataa Baba maskini kwa kigezo cha Utelekezwaji.
Hii ni direct imbalacement.
Kwani kuzaa kuna nguvu gani inatumika specialIssue ni kuzaa si kulea, Baba na Mama ni wale wanaokuzaa. Unaweza ukalelewa hata mituo cha polisi na Maaskali lakini huwez kuwataja kama Baba na Mama yako
Sababu upo matured,Hayo yote mimi yamenipata....ila niliamua kusamehe.......
Kwahio watu waliolelewa na wazazi wote wawili ni masikini?Sema watu utazama zaidi negativity, hivi kwa mfano mzazi alikutelekeza then ukalazimika ukapambana na hadi ukatoboa kwa hasira, Mimi binafsi kama positive man lazima nikurespect mzazi kwamba kunitelekeza kwako ndipo kumenifanya nifanikiwe, maana ungenilea vyema nisingekaza ningekuwa labda bodaboda, dereva au muajiriwa fulani masikini hivi.
So dimpos, diamond, Elon musk, luck dube wawashukuru baba zao kutokuwa karibu nao kumewafanya watoboe.
Hata mm ningekufungia vioo...Kuna mambo mengine wanawake wanayatengeneza wenyewe mimi mwanangu sijawahi hata mgusa zaidi ya kupewa picha mbili tatu tena kwa mbinde sana, mama yake ni kiburi tuu kimemjaa kisa kwao uwezo upo mtu anakaa kibaha anataka kuandikisha clinic lugalo nikahoji huko kibaha hakuna hospitali??
Akajibu ooh kugalo hospitali tunayoitumia familia nikamwambia huoni kwamba utajitesa na mambo ya nauli akadai atapelekwa na mamaake mdogo usafiri upo nikatulia nisikilizie siku ya clinic sasa anataka nauli sijui sasa hapo nilimpaga hela ya vifaa ili akiamua kwenda mambo yakae sawa siku ya kwenda anataka nauli hela ya clinic vifaa ile anadai alikula so jumla 270k kila kitu nikamwambia sina hela iyo nilichukia sana.
Ila ni kama ilikuwa sababu akaniambia namchukulia kama ana njaa sana basi nitulize nione kama ataniomba tena, akanilia buyu nikajua labda hasira za mimba mwee ndo ikawa ntolee iyo..nikimwambia nikutumie hela za kujikimu anadai Bi mkubwa wake kashalipa hana shida mapaka anajifungua ni kuchuniwa.. mwenyewe nikaona nibalansi shobo tu..
Mtu anashupaza shingo kuwa Ommy kalishwa sumu huku mama mwenyewe alifariki wakati mtoto ni mdogo. Wengi wanaongea tu hawawahi kuwa kwenye situation kama za Ommy.Na Mimi sijawahi kusikia mzazi akaenda kumng'ang'ania ubaba au umama kwa mtoto teja
Ommy mama yake kafariki akiwa la pili huko, ina maana hizo sumu alilishwa wapi
Kama alimtafuta mzee na kumpata na bado akaonesha kwamba watoto aliozaa nje kwake ni extra tu, ulitaka jamaa afanyaje
Nina wasiwasi kama hata umelelewa malezi ya single parenting let alone kumuona hata mtu wako wa karibu kapitia. Ungefuta haya maneno
I didn't know thatMtu anashupaza shingo kuwa Ommy kalishwa sumu huku mama mwenyewe alifariki wakati mtoto ni mdogo. Wengi wanaongea tu hawawahi kuwa kwenye situation kama za Ommy.
Nazungumzia ishu ya saikolojiko balanceKwahio watu waliolelewa na wazazi wote wawili ni masikini?
Okay kwamba kumkosa kumemfanya apambane zaidi. Hufikirii kwamba angekuwepo pia support yake nayo ingemsaidia zaidi?Nazungumzia ishu ya saikolojiko balance