Ommy Dimpoz amkana baba yake

Ommy Dimpoz amkana baba yake

Ukiwa na mtoto Mdogo au mchanga Ina shauriwa jitahid KILA mara una mbeba mkumbatie kifuani huku mshee lile joto ukimtamkia baraka, hili jambo lina maana kubwa Sana kwa saikolojia ya mtoto. Ukubwani ni lazima mtoto hawezi kuwa mbali nawe.
 
Wanaume tusiwatelekeza watoto japo wanawake ni mabingwa wa kuwalisha sumu anaweza akakuwekea block ya kuonana na mtoto ugomvi wenu wao ukosea uwashirikisha watoto.
 
Vinavyoua upendo kwa mzazi
1.Kutelekezwa utotoni
2.Talaka hapa baba na mama nyote msitegemee kupata upendo toka kwa watoto,
Ishu za kifamilia hizi zipo complicated sana. Sema kuna muda unakuta haya ni makosa ya wazazi so unawaacha wao tu hauwi biased. Kusema uchague upande mmoja.
 
Ya Ngoswe.... kuna Ommy Dimpoz, kuna Mond... na kuna Tupac
Msikie Tupac nae alivochefukwa kwenye DEAR MAMA na wala hakuficha hasira zake kwa Babake:
"No love from my daddy, 'cause the coward wasn't there
He passed away and I didn't cry, 'cause my anger
Wouldn't let me feel for a stranger
They say I'm wrong and I'm heartless, but all along

I was lookin' for a father, he was gone...
Soma kwa makini hiyo mistari miwili niliyoBold.... ndicho kinachomsibu Ommy Dimpoz
 
Nyembo la baba
Kama anatumia ubini wa baba basi afahamu hakukuwa na utofauti mkubwa kati ya mama na baba yake, kama kungekua na utofauti mkubwa kiasi hicho mama na ndugu wa kikeni wasingekubali dimpoz kupewa ubini wa mzee wake busara atenga muda amsikilize na wayajenge na mzee wake asijeakaja jutia baadae.
Baba ni baba
 
Kuna mambo mengine wanawake wanayatengeneza wenyewe mimi mwanangu sijawahi hata mgusa zaidi ya kupewa picha mbili tatu tena kwa mbinde sana, mama yake ni kiburi tuu kimemjaa kisa kwao uwezo upo mtu anakaa kibaha anataka kuandikisha clinic lugalo nikahoji huko kibaha hakuna hospitali??

Akajibu ooh kugalo hospitali tunayoitumia familia nikamwambia huoni kwamba utajitesa na mambo ya nauli akadai atapelekwa na mamaake mdogo usafiri upo nikatulia nisikilizie siku ya clinic sasa anataka nauli sijui sasa hapo nilimpaga hela ya vifaa ili akiamua kwenda mambo yakae sawa siku ya kwenda anataka nauli hela ya clinic vifaa ile anadai alikula so jumla 270k kila kitu nikamwambia sina hela iyo nilichukia sana.

Ila ni kama ilikuwa sababu akaniambia namchukulia kama ana njaa sana basi nitulize nione kama ataniomba tena, akanilia buyu nikajua labda hasira za mimba mwee ndo ikawa ntolee iyo..nikimwambia nikutumie hela za kujikimu anadai Bi mkubwa wake kashalipa hana shida mapaka anajifungua ni kuchuniwa.. mwenyewe nikaona nibalansi shobo tu..
 
Apige chini kabisa na jina la baba yake atumie la ujombani.
Ngoja aingie kwenye ndoa ndo ataelewa sometimes baba zetu wapo right.
 
Back
Top Bottom