Ommy dimpoz ni mjinga tu asidhani kuwa yeye pekee ndiye amepitia hali hiyo.Binafsi mzee wangu aliniacha nikiwa na mwaka mmoja hata sijaacha kunyonya. Sikuwahi kuiona sura yake kipindi nakua sana sana niliongea nae kwa siku mara moja moja tu. Ila story nlizokuwa nikizipata kutoka kwa mama na hata ndugu zangu waliowahi kuishi nae ni kuwa alikuwa mtu mwenye mali na pia alikuwa anajali sana na alikuwa akiijali familia.Sikujua nini kilitokea mpaka akanitelekeza ,mara ya kwanza nakuja kuiona sura yake ni pindi amefariki ,tunakwenda kumzika. Nlitamani na bado natamani sana ningepata walau muda wa dakika kadhaa nikae nae chini niongee nae mawili matatu,nipate busara zake ila haikukadiriwa kuwa hivyo. Ni kweli nikiri kuwa single mothers wanawalisha sana maneno watoto wao hususan wa kiume kuwa baba zao ni wabaya. Kwakuwa nishakaa na wanawake ktk maisha yangu, i didnt buy dat bullshit. Sikuskiliza hizo negativity. Nilipanga sana nikamtafute mzee wangu walau niione tu sura yake. Ila wakati najipanga ndipo umauti ulimfika hivyo sikujaaliwa.
Ommy ashukuru hata kuweza kumuona baba yake kuna wengine hata sura za wazee wetu hatujaziona. Sometimes huwa nawaza ,Je Mungu aliyetuumba angekuwa hasamehi kama hivi sisi tulivyo ,je tungeliambulia hata tone la mvua?? Je Mungu angesema anawapa neema wale tu wanaomuabudu,je sisi waasi tungelipata hata punje ya haradali?
Haiyumkiniki Mungu anatuumba na kutujali sisi wanaadamu toka tupo ktk umbile la manii, pande la damu mpk tunazaliwa tukiwa timilifu na tunakua na bado tunamshirikisha kwa kuabudu miungu mingine na bado anaendelea kutupa hewa,maji na chakula n.k bure. Ila sisi tunashindwa kusamehe tena wazazi wetu.
Kama ukimuangalia mzee nyembo utaona kuwa ana moyo mkunjufu kwa mawanawe na anakiri makosa yake aliyoyafanya.Na anachokitaka sasa hivi si rizki ya kula kutoka kwa mwanawe bali ni ule ukaribu tu .Mzee ameshafikia umri wa utu uzima anataka amuunganishe mwanawe aliyepotezana nae na nduguze. Nani ajuae labda mzee amebakisha umri mfupi kabla ya kuondoka duniani??
Vp akifa leo na dimpoz kujifanya kwenda sumbawanga kwenda kuhudhuria mazishi, je ndugu zake upande wa baba wakimfurusha msibani atajiskiaje??
Hakuna jambo zuri kama kuunga udugu na kuwathamini wazazi. Umaarufu anaouringia dimpoz si chochote ikiwa kama mzee nyembo angeamua kupiga nyeto na kuziacha shahawa zake zikapotelea chooni tu.Ila alizipa heshima na kwenda kuziweka katika mfuko wa uzazi wa mama yake dimpozi. Na leo hii dunia inamfahamu huyu dimpoz.
Dimpoz acha utoto ,grow up umtafute baba yake ,myajenge ,mmalize tofauti zenu na akuunganishe kwa nduguzo upande wake.