Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

Kwanini watu wamuhisi yeye na sio wasanii wengine kama domo, kiba, Marioo nk.?!
Huyo Domo alishasemwa ni punga
Huyo Kiba alishasemwa ni anakula punga,
Huyo Marioo kila leo anaitwa punga
Tatizo nililobaini sisi vijana wa Kitanzania tuna makasiriko sana kwenye mafanikio ya vijana wenzetu hasa wawe rika moja, zamani watu waliitwa freemasons, wakaja kua wauza unga, sasa hivi wanaitwa mashoga, sio lazima mtu aweke mahusiano yake live, jifunzeni kuheshimu faragha za watu.
 
Ulichoandika hapa ni dhahiri maisha yako yamekushinda na umeshakata tamaa ya kuinuka tena,
ulichobakiza ni kununua uchawi uanze kuroga watu

We jamaa sijawai kukuelew mwazoni nilikuwa nakuelwa
 
Baada ya kubananishwa anajisononesha atiliwe huruma😂😂
 
Wewe ni mdau wa upinde kitambo mbona tunakujua.
 
Sio Slay Queens tu hata hao wanaojiita Matajiri hawafikii bata la Ommy,

Ushoga Ushoga, nani kamkataza mtu kutoa kinyeo chake halafu aone kama ataishi hayo Maisha ya Ommy.
Wewe unayaishi hayo maisha ya omari au ndio uko huko kwenu ntatilyabashashi unatunanga hapa.
 
Wabongo wengi wana roho mbaya sana.

Mimi mwenyewe simsogelei nyoka. Bora Dipmoz kajojasirisha
Mimi pia,
Kama hiyo video huwezi amini nikilala nitaota,
Nyoka hapana kwa kweli namuogopa na nina uhakika wote waliocomment hapa waoga ila kwa kua ni Omari wasiyempenda ndio wameshusha hasira zao.
 
Wewe unayaishi hayo maisha ya omari au ndio uko huko kwenu ntatilyabashashi unatunanga hapa.
Kwa hiyo umekubali Omari kayapatia Maisha,
Rudia haya maneno "NISAMEHE OMARI CHUKI YANGU JUU YAKO NI SABABU NAYATAMANI MAISHA YAKO LAKINI SIYAFIKII, EEH MUNGU NISAMEHE"

Piga mswaki ulale sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…