Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

Kwanini watu wamuhisi yeye na sio wasanii wengine kama domo, kiba, Marioo nk.?!
Huyo Domo alishasemwa ni punga
Huyo Kiba alishasemwa ni anakula punga,
Huyo Marioo kila leo anaitwa punga
Tatizo nililobaini sisi vijana wa Kitanzania tuna makasiriko sana kwenye mafanikio ya vijana wenzetu hasa wawe rika moja, zamani watu waliitwa freemasons, wakaja kua wauza unga, sasa hivi wanaitwa mashoga, sio lazima mtu aweke mahusiano yake live, jifunzeni kuheshimu faragha za watu.
 
Ulichoandika hapa ni dhahiri maisha yako yamekushinda na umeshakata tamaa ya kuinuka tena,
ulichobakiza ni kununua uchawi uanze kuroga watu

We jamaa sijawai kukuelew mwazoni nilikuwa nakuelwa
 
Swali lako la akili linajibiwa hapa;
"nimesema janga la ushoga limekuwa la taifa so tuzidi kumshirikisha Mungu atusaidie na tuzidi kuongea na watoto wetu...kwani wewe hupati taarifa?"

Halafu ikaja hapa
"kuhusu Ommy siwezi msemea mtoto wa mwanamke mwenzangu kitu sina uhakika nacho"

Haya nikuulize, hii Mada inazungumzia Ushoga? Sio mjinga mmoja alokosa kazi kaja kupost video mtoto wa Watu anafurahia maisha yake kwa pesa zake, wajinga wakaanza kutiririka kua ni Shoga,

Wewe uka quote comment ya huyo mjinga mwingine anayedai lgbt wanamtetea mwenzao, ina maanisha umesapoti kua Ommy ni shoga, unaambiwa thibitisha ushoga wa Ommy unajitia kujinyongesha,

Wakati unajisononesha kuhusu mashoga umeshawaza hao mashoga wanaharibiwa na kina nani?
Baada ya kubananishwa anajisononesha atiliwe huruma😂😂
 
Kuna Watu mnapenda ushenzi na wivu tu, wewe unaweza kumshika chatu namna ile au mnajisemesha tu, kuogopa chatu ndio ushoga?

Ommy anawapa presha sana nyie vijana wa kimaskini mnatamani maisha yake hamuyapati mlichobakiza ni chuki, uzushi na makasiriko, mwenzenu anakula Maisha ambayo hamuwezi kuyala hata mkistaafu,

Go Ommy Gooooooooooooooooo
Wewe ni mdau wa upinde kitambo mbona tunakujua.
 
Sio Slay Queens tu hata hao wanaojiita Matajiri hawafikii bata la Ommy,

Ushoga Ushoga, nani kamkataza mtu kutoa kinyeo chake halafu aone kama ataishi hayo Maisha ya Ommy.
Wewe unayaishi hayo maisha ya omari au ndio uko huko kwenu ntatilyabashashi unatunanga hapa.
 
Wabongo wengi wana roho mbaya sana.

Mimi mwenyewe simsogelei nyoka. Bora Dipmoz kajojasirisha
Mimi pia,
Kama hiyo video huwezi amini nikilala nitaota,
Nyoka hapana kwa kweli namuogopa na nina uhakika wote waliocomment hapa waoga ila kwa kua ni Omari wasiyempenda ndio wameshusha hasira zao.
 
Wewe unayaishi hayo maisha ya omari au ndio uko huko kwenu ntatilyabashashi unatunanga hapa.
Kwa hiyo umekubali Omari kayapatia Maisha,
Rudia haya maneno "NISAMEHE OMARI CHUKI YANGU JUU YAKO NI SABABU NAYATAMANI MAISHA YAKO LAKINI SIYAFIKII, EEH MUNGU NISAMEHE"

Piga mswaki ulale sasa.
 
Back
Top Bottom