Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Huyo Domo alishasemwa ni pungaKwanini watu wamuhisi yeye na sio wasanii wengine kama domo, kiba, Marioo nk.?!
Huyo Kiba alishasemwa ni anakula punga,
Huyo Marioo kila leo anaitwa punga
Tatizo nililobaini sisi vijana wa Kitanzania tuna makasiriko sana kwenye mafanikio ya vijana wenzetu hasa wawe rika moja, zamani watu waliitwa freemasons, wakaja kua wauza unga, sasa hivi wanaitwa mashoga, sio lazima mtu aweke mahusiano yake live, jifunzeni kuheshimu faragha za watu.