Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

Una uthibitisho gani Ommy ni shoga?
Weka hapa tuuone kama sio umbea mliolishana huko na wivu wa kijinga
 
[emoji38][emoji28] wewe coca siyo mzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah watu wana stress za January wana amua kupumzikia kwa mtu anaye kula life. Km kukunjwa 7 ndo unakula life km la Dimpoo, na wao wakunjwe 7 kwan migongo hawana? Au wamepalalaizi??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Wafanye mambo yao. Wabongo wengi mapuuzi sana na ndiyo maana Mjerumani alichapa sana viboko.

Wanaacha ku focus vitu vyenye tija kwa taifa na kwao wao wana focus kwenye kuchunguza upuuzi upuuzi ambao hauna tija
 
Kwani amekuambia yeye anataka mambo yake yaeleweke kwako?
Mbna unajipaa umuhimuu na hapakuhusuuu?
Vipii ushakunywa chai lakini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine wanauliza anafanya kazi gani, yaani unaona jinsi wanavyoweweseka, sasa mtu ni Mwanamuziki, Balozi wa GSM, deals za Matangazo, watu wazito wazito wanamuelewa sio Rais mstaafu, sio Mabalozi,

Bado mtu anahisi huyo ni mwenzake kweli?
 
Wafanye mambo yao. Wabongo wengi mapuuzi sana na ndiyo maana Mjerumani alichapa sana viboko.

Wanaacha ku focus vitu vyenye tija kwa taifa na kwao wao wana focus kwenye kuchunguza upuuzi upuuzi ambao hauna tija
Nashangaaa hapo na mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wamevurugwaaaa vibayaa mnooo.
 
Wengine wanauliza anafanya kazi gani, yaani unaona jinsi wanavyoweweseka, sasa mtu ni Mwanamuziki, Balozi wa GSM, deals za Matangazo, watu wazito wazito wanamuelewa sio Rais mstaafu, sio Mabalozi,

Bado mtu anahisi huyo ni mwenzake kweli?
Wa Bongo bhana utawawezaaa yaan mtu anataka kumpangia mwenzie life, etii oooh mambo yake hayaeleweki, wee yako yanaelewekaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umaskinii mbayaaa jaman khaaaaah.
 
Kaka wa Watu mpole, charming, hana majivuno, hana majigambo, hana Machawa, hagombani na Mtu, yeye muda wote ni kucheka na kutabasamu, lakini kutwaaaa yupo midomoni wao kama mswaki,

Lakini napenda anavyowanyoosha, wanamfollow kimya kimya huku wanaumia, wanakubali sio level yao na hawezi kua level yao walichobakiza hapa ni chuki ambayo hii hupelekea mtu kua Mchawi akishaanza kutoka mvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…