cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dimpooz ananyoosha watu kmya kmyaa.Kaka wa Watu mpole, charming, hana majivuno, hana majigambo, hana Machawa, hagombani na Mtu, yeye muda wote ni kucheka na kutabasamu, lakini kutwaaaa yupo midomoni wao kama mswaki,
Lakini napenda anavyowanyoosha, wanamfollow kimya kimya huku wanaumia, wanakubali sio level yao na hawezi kua level yao walichobakiza hapa ni chuki ambayo hii hupelekea mtu kua Mchawi akishaanza kutoka mvi.
Alipost sebulee yake, Lol. Watu walivyoanza kumiminikaa na kushangaaaaa, insta ilishtushhlwaaa, wamuachee ale rahaa.
Amepitia mengi na mabayaa mno alishapoteza tumaini la kuishi tena. Now afurahie uzima wake bhanaaa.