Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

Kuna Watu mnapenda ushenzi na wivu tu, wewe unaweza kumshika chatu namna ile au mnajisemesha tu, kuogopa chatu ndio ushoga?

Ommy anawapa presha sana nyie vijana wa kimaskini mnatamani maisha yake hamuyapati mlichobakiza ni chuki, uzushi na makasiriko, mwenzenu anakula Maisha ambayo hamuwezi kuyala hata mkistaafu,

Go Ommy Gooooooooooooooooo
Kama sio Ommy basi uko chini ya mwavuli wa upinde
 
Vinadaiwa Kodi ya chumba kimoja, vingine hata ada za watoto havijamaliza, vingine bado ramani hazijasoma tangu vimalize chuo, vingine vina degree vimekua vidalali vya pochi na mikanda,[emoji2960]

Halafu wanamuona bwana Omary Nyembo ambaye hata form six hajafika anamiliki ofisi ya kifahari mjini Posta, breakfast anaipata Serena hotel, Lunch anaipata Johari Rotana na Dinner anaipata Ramada Hotel, anaishi Masaki, weekends anapumzika Visiwa vya Zanzibar au Mombasa,Vacation anaenda Dubai, Paris, London, Newyork [emoji23]

Hana Mke wala Mtoto, kiufupi pesa yake ni yake mwenyewe inamtosha kwa matumizi yake [emoji38]

Aweeee, hapo Mtanzania wa kwa mtogole lazima apate presha kila akipita mjini Insta kwenye page ya Ommy [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji122][emoji122]Kunywa pombe yeyote hapo jirani bill nitalipa mimi
 
Kwa mziki gani alioimbaa au biashara gani anazofanyaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kijana analiwaa ukweli mchunguu.
Kaliwe na wewe ufikie robo ya maisha yake,
Mbona easy tu
 
Back
Top Bottom