Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dimpooz ananyoosha watu kmya kmyaa.
Alipost sebulee yake, Lol. Watu walivyoanza kumiminikaa na kushangaaaaa, insta ilishtushhlwaaa, wamuachee ale rahaa.

Amepitia mengi na mabayaa mno alishapoteza tumaini la kuishi tena. Now afurahie uzima wake bhanaaa.
 
Umaskinii mbayaaa jaman khaaaaah.

Vinadaiwa Kodi ya chumba kimoja, vingine hata ada za watoto havijamaliza, vingine bado ramani hazijasoma tangu vimalize chuo, vingine vina degree vimekua vidalali vya pochi na mikanda,[emoji2960]

Halafu wanamuona bwana Omary Nyembo ambaye hata form six hajafika anamiliki ofisi ya kifahari mjini Posta, breakfast anaipata Serena hotel, Lunch anaipata Johari Rotana na Dinner anaipata Ramada Hotel, anaishi Masaki, weekends anapumzika Visiwa vya Zanzibar au Mombasa,Vacation anaenda Dubai, Paris, London, Newyork [emoji23]

Hana Mke wala Mtoto, kiufupi pesa yake ni yake mwenyewe inamtosha kwa matumizi yake [emoji38]

Aweeee, hapo Mtanzania wa kwa mtogole lazima apate presha kila akipita mjini Insta kwenye page ya Ommy [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear umemaliza kila kitu.
Yaan umemalizaaa haswaaaa.
 
Jiheshimu, acha kutetea upumbavu
 

Mnanualibu kwa masifa ya kijinga
 
Nawee kua mtetezi au mfuasi km yeye, ili uwee na life km lakee, acha wivuuu shost, au huna nyotaaaaa mwayaaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ana life gani huyo jamaa!? Au kupigwa pipe? Kama ni hivyo bora umasikini aseee kuliko mtoto wa kiume kubonyezwa chamber
 

Hivyo vyote ni ubatili tupu kama kweli anapumuliwa kisogoni.
 
Wagumba utawajua tu mnatamani ata kuzaa mapunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…