Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

siwezi sema Ommy ni shoga maana sijawahi muona akifanyiwa vitendo hivyo, soma taratibu uelewe usiende pupa

nimesema janga la ushoga limekuwa la taifa so tuzidi kumshirikisha Mungu atusaidie na tuzidi kuongea na watoto wetu...kwani wewe hupati taarifa?

kuhusu Ommy siwezi msemea mtoto wa mwanamke mwenzangu kitu sina uhakika nacho .

ukitulia utanielewa,,,halafu unawezaje kusema sina akili? kwani nimeandikaje kama sina akili....mimi kama mimi siwezi mhukumu mtu ambae sina concrete evedence.

Swali lako la akili linajibiwa hapa;
"nimesema janga la ushoga limekuwa la taifa so tuzidi kumshirikisha Mungu atusaidie na tuzidi kuongea na watoto wetu...kwani wewe hupati taarifa?"

Halafu ikaja hapa
"kuhusu Ommy siwezi msemea mtoto wa mwanamke mwenzangu kitu sina uhakika nacho"

Haya nikuulize, hii Mada inazungumzia Ushoga? Sio mjinga mmoja alokosa kazi kaja kupost video mtoto wa Watu anafurahia maisha yake kwa pesa zake, wajinga wakaanza kutiririka kua ni Shoga,

Wewe uka quote comment ya huyo mjinga mwingine anayedai lgbt wanamtetea mwenzao, ina maanisha umesapoti kua Ommy ni shoga, unaambiwa thibitisha ushoga wa Ommy unajitia kujinyongesha,

Wakati unajisononesha kuhusu mashoga umeshawaza hao mashoga wanaharibiwa na kina nani?
 
usiwe unakurupuruka my dear, naomba usiniwekee maneno kwa kinywa changu, mimi sijamtaja mtu yeyote kuwa ni shoga ila janga la ushoga lipigwe nooo kwa asilimia zote.

kama wewe unafurahia watoto wetu kuwa mashoga ni shauri yako ila mimi kama mimi in general ushoga ni noooo a thousand plus, whether wanaharibiwa na kina nani mimi hilo sitaki kujua, ndo maana nimesema tumuombe Mungu atusaidie huku tukichukua hatua

hata sikuelewi unataka kusema nini

ila in personal siwezi ita mtoto wa mtu ni shoga kama sina concrete evidence..hope you get what I mean
 
watafanya kila jitihada kukuprove wrong ilikukuonyesha wako na nguvu kiasi gani.
hawana hata nguvu yeyote, sema wanatumia nguvu nyingi (pesa) kuwarubuni watoto na wadogo zetu

mbaya zaidi wameanza na watoto wa umri mdogo sana. Imefika mahali hata ile nyakati ya sodoma na gomora akitokea mtu wa nyakati hizo anaweza kubisha kama sisi ni wanadamu wa kawaida

Mungu tuhurumie
 
Swali lako la akili linajibiwa hapa;
"nimesema janga la ushoga limekuwa la taifa so tuzidi kumshirikisha Mungu atusaidie na tuzidi kuongea na watoto wetu...kwani wewe hupati taarifa?"

Halafu ikaja hapa
"kuhusu Ommy siwezi msemea mtoto wa mwanamke mwenzangu kitu sina uhakika nacho"

Haya nikuulize, hii Mada inazungumzia Ushoga? Sio mjinga mmoja alokosa kazi kaja kupost video mtoto wa Watu anafurahia maisha yake kwa pesa zake, wajinga wakaanza kutiririka kua ni Shoga,

Wewe uka quote comment ya huyo mjinga mwingine anayedai lgbt wanamtetea mwenzao, ina maanisha umesapoti kua Ommy ni shoga, unaambiwa thibitisha ushoga wa Ommy unajitia kujinyongesha,

Wakati unajisononesha kuhusu mashoga umeshawaza hao mashoga wanaharibiwa na kina nani?
Ommy Dimpoz ametumika tu kama sample ,
Ambapo hakuna mwenye uhakika katika hili.
Japo kuna watu inaonekana wameona jamaa anaviashiria fulani .

Ommy ni kioo cha jamii.
kuna akina ommy dimpoz wanna be (watoto) wanacopy kila atakachofanya au watakachofanya.
Vipi kama Ommy ni sellout yupo anapush ajenda maana kutwa kucha anatafuta attention .
 
hawana hata nguvu yeyote, sema wanatumia nguvu nyingi (pesa) kuwarubuni watoto na wadogo zetu

mbaya zaidi wameanza na watoto wa umri mdogo sana. Imefika mahali hata ile nyakati ya sodoma na gomora akitokea mtu wa nyakati hizo anaweza kubisha kama sisi ni wanadamu wa kawaida

Mungu tuhurumie
Hapo penye umesema hawana nguvu mh!
Nguvu wanazo tena kubwa kuliko unavyodhani.
mifano ipo mingi tu nadhan sitamaliza hapa nikianza kukuwekea.
 
sio wanatumia nguvu nyingi kisa pesa? kama sio pesa daaah

kilio kwa wazazi jamani,,,inauma unazaa mtoto wako wa kiume unakuja kusikia kawa wa kike

Mungu tuhurumie
 
hawana hata nguvu yeyote, sema wanatumia nguvu nyingi (pesa) kuwarubuni watoto na wadogo zetu

mbaya zaidi wameanza na watoto wa umri mdogo sana. Imefika mahali hata ile nyakati ya sodoma na gomora akitokea mtu wa nyakati hizo anaweza kubisha kama sisi ni wanadamu wa kawaida

Mungu tuhurumie
Kunasiku moja mimi kama mimi niling'amua jambo wakat tunaangalia BSS sikumbuki mwaka gani ila ilikuwa hivi.

Kuna mshiriki mmoja aliperform hatua zamwanzoni zile za usahili sikumbuki niwawapi ila yule jamaa alizingua, nakumbuka master J chakwanza kujudge ilikuwa ni dress code ya jamaa, alivaa vilemba vile sijui wanaitaje vijana wa generation z. Master J alimshambulia muimbaji kwakumwambia hivo vilemba ni vyakike na OMMY Dimpoz nae alikandia juu ya kilemba cha cha jamaa walimsema yule mshiriki akatoka.

Mimi Dakarai nikamwambia wapembeni yangu Master J na Ommy D watalipia hiki walichofanya nikamwambia unajua kuhusu humiliation ritual?

GUESS WHAT ?
Session iliyofuata walifunga vilemba and they were so proud of it.
nikajisema WOW! Goat lucy hacheki na kima.
 
wana run the world yes, but through their big pockets

ila kwa umoja wetu, tukiweza kushikamana na kuongea na watoto, wadogo zetu na kuwaeleza madhara ya hii kitu tutashinda. Kizazi cha sasa majukumu tumeawaachia maids jambo ambalo hata maids wana mambo yao ambayo hawawezi kuyamaliza na ku take full responsibility ya watoto wetu.

Tujue nafasi zetu huku tumkimshirikisha Mungu.
 
sio wanatumia nguvu nyingi kisa pesa? kama sio pesa daaah

kilio kwa wazazi jamani,,,inauma unazaa mtoto wako wa kiume unakuja kusikia kawa wa kike

Mungu tuhurumie
Malezi ya baba kwa watoto (kiume/kike) ni muhimu kuliko ya mama (chalenge me if you can?).
Note: KUNAWAPUUZI KIBAO HAWASTAHILI KUWA BABA.

Becareful who you choose to be father of your kids.
Matatizo yote yanaanzia hapa BABA. BABA NARUDIA BABA.

SHOUT OUT TO ALL GOOD FATHERS OUT THERE.
 
Ommy Dimpoz ametumika tu kama sample ,
Ambapo hakuna mwenye uhakika katika hili.
Japo kuna watu inaonekana wameona jamaa anaviashiria fulani .

Ommy ni kioo cha jamii.
kuna akina ommy dimpoz wanna be (watoto) wanacopy kila atakachofanya au watakachofanya.
Vipi kama Ommy ni sellout yupo anapush ajenda maana kutwa kucha anatafuta attention .

Ommy umemuona ana viashiria vipi vya kuonesha yeye ni shoga?

Viorodheshe hapa ili tuvijue,

Nikisema Dakaria ni Shoga tena amekubuhu nitakua sawa kukutumia kama sample ili kufikisha ujumbe?
 
wana run the world yes, but through their big pockets

ila kwa umoja wetu, tukiweza kushikamana na kuongea na watoto, wadogo zetu na kuwaeleza madhara ya hii kitu tutashinda. Kizazi cha sasa majukumu tumeawaachia maids jambo ambalo hata maids wana mambo yao ambayo hawawezi kuyamaliza na ku take full responsibility ya watoto wetu.

Tujue nafasi zetu huku tumkimshirikisha Mungu.
sio pocket tu wako very smart.
kuwa outsmart itatubidi nasisi tuwe smart.

You know what it takes to do some evil crazy shit?
it needs some brain.

mchukue genius mpe role yoyote ataperform perfect.
nandiomaana utaona hao wakina lil nas na wengine kibao ukichimbua wako very smart ile ni character tu wanaigiza on purpose.
 
usiwe unakurupuruka my dear, naomba usiniwekee maneno kwa kinywa changu, mimi sijamtaja mtu yeyote kuwa ni shoga ila janga la ushoga lipigwe nooo kwa asilimia zote.

kama wewe unafurahia watoto wetu kuwa mashoga ni shauri yako ila mimi kama mimi in general ushoga ni noooo a thousand plus, whether wanaharibiwa na kina nani mimi hilo sitaki kujua, ndo maana nimesema tumuombe Mungu atusaidie huku tukichukua hatua

hata sikuelewi unataka kusema nini

ila in personal siwezi ita mtoto wa mtu ni shoga kama sina concrete evidence..hope you get what I mean

Sijakurupuka hata kidogo labda kama wewe ndie ulikurupuka kuandika yale uliyoandika,
Video inaonesha Ommy anacheza na Chatu, mambo ya ushoga yamekujaje??

Au ndio kusema mnauwaza sana kiasi kwamba mtu akicheka tayari ni shoga, akilia shoga, akisimama shoga, akikaa shoga, hata kuogopa Chatu nayo shoga!!

Acheni kuharibu brandz za watu walizozitengeneza kwa uchafu mlioujaza vichwani mwenu.
 
Ommy umemuona ana viashiria vipi vya kuonesha yeye ni shoga?

Viorodheshe hapa ili tuvijue,

Nikisema Dakaria ni Shoga tena amekubuhu nitakua sawa kukutumia kama sample ili kufikisha ujumbe?
Tatizo dada KWINI najua wewe nishabiki wa ommy D,

Nakumbuka mimi pia nilipaniki pale baadhi ya watu kudai tupac shakur alikuwa gay .

ngoja tuache tu hapo hebu tufokasi nini tufanye kuwaprotect watoto wa kizazi kijacho.
 
Vinadaiwa Kodi ya chumba kimoja, vingine hata ada za watoto havijamaliza, vingine bado ramani hazijasoma tangu vimalize chuo, vingine vina degree vimekua vidalali vya pochi na mikanda,[emoji2960]

Halafu wanamuona bwana Omary Nyembo ambaye hata form six hajafika anamiliki ofisi ya kifahari mjini Posta, breakfast anaipata Serena hotel, Lunch anaipata Johari Rotana na Dinner anaipata Ramada Hotel, anaishi Masaki, weekends anapumzika Visiwa vya Zanzibar au Mombasa,Vacation anaenda Dubai, Paris, London, Newyork [emoji23]

Hana Mke wala Mtoto, kiufupi pesa yake ni yake mwenyewe inamtosha kwa matumizi yake [emoji38]

Aweeee, hapo Mtanzania wa kwa mtogole lazima apate presha kila akipita mjini Insta kwenye page ya Ommy [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
My Ribs 😂😂😂
Kumbe ni hasira za maisha zinawa drive people crazyyyyyyyy
 
Back
Top Bottom