cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko wee unifundishee mie au kunielekezaa kuhusu hawa fashionista na designers? Hassanali ni yeye. Na Noel n yeye. Kila mtu anapita ktk njia zake japo kazi n 1.Kazi gani unasemaa... Yani Boyfriend Jeans na Vitop ndo kazi zake??? Mara designer wa diamond..mara wa wadada hueleweki ili mradi utetee Ushoga wake tu..Kwani ushawahi Kumuona Hassanali anavaa nguo za kikee?? Na yeye ndo designer number moja wa mavazi ya kikee..
Huo ushogaaaa unaujua na kuuona wee kwa hao watu, wala sie wengine sio shda zetu. Relaaaaaaaaaaaaxxxxxxx.