dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #61
HahahahahahaahWe ndio maana mkeo anarudi nyumbani muda anaotaka, anakutukana, kukujibu hovyo na anakupiga na vibao kabisa. We yanakuhusu nini dogo?
Huyu mwanamke nimemuacha rasm kwa kikao kizito