Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Hudhani muda huo wa kufuatilia maisha ya wengine ungeweza boresha yako zaidi??Never on the Earth kuiga ujinga
Nitafatilia had yako nikikujuwa unaa Mambo ya sivyo vya kawaida
Anyways, kila mtu na aina ya maisha aliyojichagulia, yako imekuwa ni kuchunguza ya wenzako.