On Second Thought

On Second Thought

MwanaJamiiOne,

Limbwata Ni Nini?
B_E.......nijuavyo mie ni aina ya dawa zinazosemekana kumfanya mtu akupende zaidi. Hutolewa na waganga wanaojiita wa dawa za mapenzi ambao siamini kama wapo!! Kwa wenzetu wa Bukoba wanaiita Shuntama kama sikosei ingawa sijui kama hii ya kwao ni ya asili au nayo wanapata toka kwa mawitch doctors!!
 
I dont think limbwata ni suluhisho, kwa nini usifanye vitu vingine vitakavyomfanya mwenzio avutiwe nawe voluntarily?
 
Here we are Smiles let's say No to Limbwata!! (Wamelala ila bado kuna hii kabaila moja St. RR haitaki kabisa kusalimu amri tuifanyaje)

Aaah hapo usitie shaka kabisa.....(he calls himself 'saint' and saints only gives blessings....right??)
 
Limbwata kwako my protector.....??
Not applicable kabisa......
Comes with a natural cause!!! (Pope na Babu wamelala bado....etii eeh!!)

Umewaona hao tu eh?
 
Aaah hapo usitie shaka kabisa.....(he calls himself 'saint' and saints only gives blessings....right??)

Blessed be smiles....
Proffesional heart mender st. rr
 
Aaah hapo usitie shaka kabisa.....(he calls himself 'saint' and saints only gives blessings....right??)
Do you believe kua utapewa blessings from him? (wameamka si umemuona Pope hapo)
Sorry Mjukukuu nakwenda off topic kidogo. Lakini si umeshakonkuludi hii thread etii eh?
 
Wapenzi wa JF...............Happy New Year kwenu wote

Was just thinking about Limbwata............ Kina kaka/dada on the second thought..hv mwanamke/mwanaume wako akikuwekea Limbwata kuna ubaya gani??........... kwa sababu si huwa hiyo inafanya kwa kuwa anakupenda sana? Yaani Mumeo/Mkeo/Mpenzi akikulimbwata lengo lake si ni kuwa na wewe milele.....and that means anakupenda sana (Why asimwekee Juma/Halima, George/Rose au mwingine??)

Kuwekewa Limbwata kwa nini kusichukuliwe kama vile vingine ambavyo mnaviaprove mkifanyiwa mf. Mwanadada/Kaka anapokuwa mbunifu ili tu akuwini uvutiwe naye kila siku na kubaki nae??.....

On the second thought.

Hapa nazungumzia kwa wale wenye mapenzi huru (i.e. mume/mke halali, mpenzi ambaye unatarajia kuoa/olewa).

Nependa sana limbwata jamani sijuli lini mama Nguli atanipa limbwata
 
B_E.......nijuavyo mie ni aina ya dawa zinazosemekana kumfanya mtu akupende zaidi. Hutolewa na waganga wanaojiita wa dawa za mapenzi ambao siamini kama wapo!! Kwa wenzetu wa Bukoba wanaiita Shuntama kama sikosei ingawa sijui kama hii ya kwao ni ya asili au nayo wanapata toka kwa mawitch doctors!!

Jibu kamili hili. Halafu mbona umeielezea sana kama unaitumia vile napata wasiwasi vile!!
 
Babu Inspector......shikamoo Babu yangu
Wewe pia karibu na ninakutakia mwaka 2011 uwe wa mapenzi, mapenzi na mapenzi moto moto kwenu na Bibi yangu.
Asante sana mjukuu...inspectee.
ngoja nikutumie ile number bana.....habari yake mapenzi moto moto.! Savoy.
 
Do you believe kua utapewa blessings from him? (wameamka si umemuona Pope hapo)
Sorry Mjukukuu nakwenda off topic kidogo. Lakini si umeshakonkuludi hii thread etii eh?
Una baraka zote Babu yangu besides si nimesema nawatakia mwaka 2011 mwema uwe wa mapenzi? Who knows utamalizana vipi na Smiles...........
 
Jibu kamili hili. Halafu mbona umeielezea sana kama unaitumia vile napata wasiwasi vile!!
DA hahaha my dada mimi ni mwanajamii na mwanajamii hujitahidi kujua kila kitokeacho ndani ya jamii.........
 
mapenzi bwana kitu cha ajabu sana, unamsotea mtoto wa wenzio ageuke wako...khaa! kuna ile nilickia cjui ni ya bukoba cjui wapi unaweka kipande cha nyama huko kwenye nanihii yako(mdada) Kaizer akija na njaa zake huko unamchanganyia kwenye msoc,umemmaliza! unammiliki kama umemzaa vile...khaa uchafu mtupu!...hakunaga mapenzi ya limbwata hata cku na moja, wako wako tu, kama sio ujue haikuwa bahati yako, songa mbele wako anakusubiri kwenye corner pale.
 
Back
Top Bottom