lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,688
Ndio wangoni wanaweza kurudi kudai ardhi yao kama wangekuwa hawana sehemu ya kukaa na kuweka makazi. Israel hawana sehemu ya kukaa tofauti na hiyo ardhi palestina walioitwaaVipi Wangoni wanaweza urudi South Africa kudai ardhi yao na dunia ikawaelewa? Achana na mambo ya historia, kipindi hicho watu walikuwa wanahama hama tu bila mipaka wala passport au visa. Sasa baada ya mipaka kuwepo dunia kubadilika urudi udai hapa ilikuwa ni sehemu ya mababu zangu miaka ya 1700, eti na dunia ikuunge mkono, au uje useme hili eneo langu Mungu wangu kaniambia hivyo.