Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Mimi sikukatazi kumuamini huyo Mungu.Wewe ni kichwa ngumu na kama unaingia kanisani unafuata kitu kingine tofauti na kuabudu kwa sababu wewe utakuwa ni mpagani.
Mungu sio wa kwangu peke yangu ni wa kwako pia na huwa kila kiumbe kinamjua bila hata kusoma Qur'an..Kwenye Qur'an tunapata mambo ya ziada Mungu anayotaka tufanye na kwa faida yetu tukishaondoka duniani.
Mtoto mchanga akizaliwa anakuwa ni muislamu na anafanya vitu ambavyo hakuwahi kusoma popote..Siku mvua ikinyesha na radi zikapiga mfululizo wewe huwa unaogopa na kujificha sehemu unayodhani ni salama.Nani unayemuogopa,nini kinachokutisha na nani huwa unadhani ndiye mwenye uwezo wa kukunusuru.Hali hizo unakuwa umesoma wapi.
Mantiki ya kuiamini Qur'an kuwa kinachosemwa humo hakina shaka ni ya wazi kabisa lakini nimeona nikupitishie sehemu akili yako changa itafahamu na bado umekuwa mgumu.
Hayo matamko ya kwamba unataka ushahidi wa kujulikana Mungu kabla ya nabii Muhammad ni matamko ya jeuri na ndio porojo zenyewe.Kwa jeuri yako hii hata tukianza kupata ushahidi wa kuchimbua ardhini utaupinga.Kama ni hivyo subiri uone malipo ya jeuri yako siku Mungu unayempinga na kumwita kwa dharau kuwa ni wangu atakapokutia mkononi.
babu yangu aliamini mungu wake ni ule mti wa jirani.
Wahindi wanaabudu ng'ombe
Wakristo wanasema Yesu ni mungu
Sasa hawa wote ng'ombe,mti,Yesu na Allah sio kitu kimoja.
mimi nimuamini mungu wako au nisiamini hilo ni juu yangu.
Sikatai kuwa Huyo Allah ni Mungu wa kweli au sio(siyo mada hiyo)
Kesi yangu kwako ni kuwa je kuna mtu aliyemuamini na kumtii huyo mungu wako Allah kabla ya Muhammad?
sasa naomba Ushahidi kuwa watu walimjua huyo Mungu(Allah) kabla ya Muhamad
Note:Huo ushahidi uuchimbe uuchimbue uufukie uuchambie ila sharti uwe ulikuwepo kabla ya Muhammad.