Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

Quran kuwepo huko mbinguni kabla ya 600AD sio ishu hapa tunaongelea vitu vilvyokuwepo duniani na kujulikana na watu labda uniambie hapa duniani Quran ilikuwepo before mUhammad?
Leta Ushahidi uliokuwepo Duniani kabla ya Muhammad mwaka 600AD hata jina Allah tu lilitungwa na Muhamad mwaka 620AD

Kuhusu Avesta na Veda sijasema zilifanya watu wamjue allah..kila dini ina mungu wao,,Veda za wahindu na Avesta za wazoroastra.

Frankly I am dissapointed in your inability to make or defend an argument.
Ulichosema unasema hujasema na unaposhindwa kutetea hoja unasema unapotezewa muda wako.Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa.
Mara unabishia Allah kuwepo kabla na mara nyengine unazungumzia Uislamu na Muhammad. Mara nyengine umekubali mwaka 900Ad halafu umejikanyaga unataja mwaka 600Ad ni kipi unachojaribu kupinga.hueleweki kabisa.Ni Mungu,ni Uislamu au ni Muhammad s.a.w.
Kabla ulipoikataa Qur'an niliacha kujadiliana nawe kwa kuitaja hiyo.Ulipoikubali nimekupa ushahidi kuwa Allah ni wa mwanzo kwa maneno yake mwenyewe.Unaona aibu gani kuukubali ukweli.
You dont have to be dissapointed with me.You just have to be clear what is your discussion point. I believe you have got fake cerificate in whatever field you majored.
 
Ngoja nikuambie kama naongea na mtoto wa chekechea.
Chacha chikia iko ivi

Allah-> Quran-> Muhammad (imani yako)
Muhammad->Allah->Quran (Imani yangu)

Sasa ili uwe muislam ni lazima Umjue Allah
(common agreement)

Sasa kama kuna waislam kabla ya Muhamad maana yake kuna watu walimjua na kumuabudu Allah kabla ya muhamad na watu hawa walijiita waislam.

Sasa kama ilikuwa hivyo basi tungepata ushahidi wa kihistoria(Sio wa kiiamani) wa kuwepo hawa watu.

Huo ushahidi ndiyo nataka unipe mtoto juri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quran kuwepo huko mbinguni kabla ya 600AD sio ishu hapa tunaongelea vitu vilvyokuwepo duniani na kujulikana na watu labda uniambie hapa duniani Quran ilikuwepo before mUhammad?
Leta Ushahidi uliokuwepo Duniani kabla ya Muhammad mwaka 600AD hata jina Allah tu lilitungwa na Muhamad mwaka 620AD

Kuhusu Avesta na Veda sijasema zilifanya watu wamjue allah..kila dini ina mungu wao,,Veda za wahindu na Avesta za wazoroastra.

Frankly I am dissapointed in your inability to make or defend an argument.
I am not the one who made the argument.The argument is yours don't run away from it.
Ngoja nikuambie kama naongea na mtoto wa chekechea.
Chacha chikia iko ivi

Allah-> Quran-> Muhammad (imani yako)
Muhammad->Allah->Quran (Imani yangu)

Sasa ili uwe muislam ni lazima Umjue Allah
(common agreement)

Sasa kama kuna waislam kabla ya Muhamad maana yake kuna watu walimjua na kumuabudu Allah kabla ya muhamad na watu hawa walijiita waislam.

Sasa kama ilikuwa hivyo basi tungepata ushahidi wa kihistoria(Sio wa kiiamani) wa kuwepo hawa watu.

Huo ushahidi ndiyo nataka unipe mtoto juri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako ni duni sana na huwezi kujadili jambo la maana kama la kiimani kama hili.Wewe ishia kwenye udanganyifu kanisani kwako tu.
Unagusia mambo mazito usiyokuwa na utaalamu nayo na ulidhani mimi ni kama mchungaji wako nitakuachia utoke kimya kimya bila kukuhoji.
Ushahidi ulioutaka kupitia Qur'an ambayo baada kukubana uliikubala kama source kwa maneno yako ndipo ukataja 900AD,600AD nimekupa ya kuwa Allah ni wa mwanzo.Mwenyewe pia ulikubali Mussa alitajwa ni muislamu wa Mwanzo na Muhammad hivyo hivyo.Kwa kiwango chako cha elimu ya uislamu hapa inabidi utumie mantiki tu iwapo A=1 ,B=1 maana yake A=B na baadae ikathibitika kuwa na Z=1 maana yake A=Z kitakachotofautisha kati ya A na Z itakuwa ni vitu vyengine vya ziada itakavyobidi uvipembue.
Uligusia Avest na Veda nimekushurutisha unitolee ufafanuzi nikiwa na lengo maalum na hujaweza kufanya hivyo kuonesha unapokuwa unajadiliana na watu wa aina yako huoni shida kutaja mambo makubwa usiyo na ufahamu nayo kwa kutarajia utapata alama feki na uishie tu.
Mara nyingi hapo kabla umedai unataka ushahidi wa kihistoria.Historia kwa upande wako huwa unaipata wapi?
 
Tunajaza server tu za JF...hii mada imeisha maana mpaka sasa umeshindwa kuweka ushahidi wowote wa kihistoria.

Ukiweka namimi nitakuelezea hizo Avesta na Veda.
 
[emoji28][emoji28]nmefatilia huu mtanange kuna mwamba mmoja kala za uso kinyama...Ni kama jamaa anabishana na panya asiye na ubongo.(kila mtu anaona)
 
Huu uzi mtu akiona comment nyingi hivi anaweza akahisi Kuna vitu vya kujifunza, kumbe liuzi lenyewe limejaa comments za mareligion fanatics tu..... Pumbavuuu

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Tunajaza server tu za JF...hii mada imeisha maana mpaka sasa umeshindwa kuweka ushahidi wowote wa kihistoria.

Ukiweka namimi nitakuelezea hizo Avesta na Veda.
Server ipo kwa ajili yetu ili watu waelimike. JF wanalipia usijali na siku wakiona kweli majibu yako yanajaza basi watafungia.
Hujajibu mambo mengi niliyokuuliza.Itakuwa majibu huna.Jaribu kujibu hili la mwisho.Historia kwa upande wako huwa unaipata wapi?.
Ni ubongo wako,ni maandishi au ni uchimbaji wa vitu vya kale au ni ngano za akina bibi?.
Naamini unategemea zaidi maandishi.Ushahidi wa maandishi kupitia Qur'an nimekupatia .Jaribu kuupinga na unipe ushahidi unaouamini zaidi kuonesha hakukuwa na Allah kabla ya Adam a.s na kwamba Uislamu si dini ya mitume wote pamoja na Yesu a.s.
Kama hilo litakushinda usihoji ujinga na nenda katika shughuli zako nyengine.Usipoteze muda wako.
 
Siyo Waarabu wale ni Magiriki kwa asili, wajukuu wa Alexander the great!! na makamanda wake ( Hellenistic empire) yaani ni wazungu wale wale! ila kwa sababu ya kujisikia kupitia Otoman empire( dola la kiislamu),

hawataki kuitwa whites, wakachagua kajina kao eti ''jumuia ya Waarabu'' ukweli ni kwamba waarabu ni wale wanaoitwa Beduiun, wamenyimwa sana fursa Uarabuni,

Babu zao Wazungu wamerudi wanawaambia hii nchi tuliipora sisi na Babu zenu, tukawapa Babu zenu km zawadi watawale kwa Muda, mikataba yote iko Vatican, wabishi wanabisha waungwana wanaojua wanakubali kiulaini. wale waarabu wa leo na wazungu ni wamoja kidamu ila wengine hawataki umoja huo wanaona ni janja ya wazungu! km unavoona Tanganyika na Zanzibar.

Hakuna Racial entity ya waarabu Duniani pote! hao ni kuna Mestizo pia !
Alexander the great alikuwa na watoto?
 
Uislamu ndiyo dini ya mwanzo duniani.Ilikuwepo kabla hata binadamu hawajaanza kuishi duniani.Na zaidi ukristo umeletwa na akina Marko na Yohana kwa mujibu wa maandiko ya biblia.Yesu mwenyewe ni Muislamu kama mitume waliotangulia.Nabii Muhammada s.a.w alipokuja alikuja kuhuisha tu baada ya watu kupotoka tangu alipoondoka nduguye Yesu a.s.
Uislamu umeibuka ibuka tu ..manabii wote ni wayahudi na wapo kwenye agano. Kwa nini huyu Muddy mtume siyo myahudi? Ni mwarabu tu huko kaibuka akiwa na maruwe maruwe (mapepo) na kujiita mtume. Lakini kiukweli hakuna mtume wala Nabii aliyetoka nje ya jamii ya wayahudi. Kwanzia Ibrahimu, akaja Musa, Samwell, akina Isaya, hadi Jeremiah mpaka kuja kwa Yesu. Huyu Muddy ni mwarabu tu ambaye alipagawa na mapepo na kujiita mtume.
 
kuwepo kwa Viungo,Atom,Nyota hakuhakikishi uislam ulikuwepo kabla ya Muhamad maana hayo yote kuhusu hata uwepo wa huyo Mungu umeyatoa kwenye kitabu kilichokuja baada ya muhamad.

Mfano: mimi nikiandika leo kitabu nika'claim kuwa Ccm ilikuwepo kabla ya nyerere na kusema wakoloni walikuwa CCM,CCm ndiyo walitengeneza kiswahili, walitengeneza mipaka ya nchi kwahiyo huo ni Ushahidi kuwa Ccm ilikuwepo kabla ya Nyerere kwa maana haya yalifanyika kabla ya Nyerere.

Sasa msomi lazima apinge kitabu Changu na atataka ushahidi mwingine ambao huo ushahidi ulikuwepo kabla ya Nyerere ukiashiria CCm ilikuwepo,Either Maandishi kabla ya Nyerere yanayoizungumzia CCm.

Na mimi siwezi kutetea kitabu Changu kwa kusema kwasababu Mipaka ya nchi bado ipo na kiswahili kinatumika basi Ccm ilikuwepo kabla ya Nyerere.

Ni sawa nawewe unavyosema kwasababu Atom na Nyota na viungo vya mwili blah blah blah......
Huyo mwenyezi Mungu wako na hadith zake zimekuja baada ya Muhamad sasa

Ushahidi naotaka hata uwe wa kimaandishi lakini yawe maandishi yaliyokuwepo kabla ya Muhamad
-Nasubiri
Sahihi kabisa. Sijui kwanini ndugu zetu wanashindwa kutumia akili. Muddy alikuwa msanii tu!
 
Wafilisti! Kibiblia eneo lao lilijumlisha miji mitano:Ashdodi,Gaza,Ekron,Gathi na Ashkeloni,(1Samweli6:17-18)
Wafilisti siyo wapalestina. Wapalestina ni waarabu wavamizi kama jinsi Wamisri wa sasa ni waarabu wavamizi. Wamisri wa zamani walikuwa weusi.
 
Hizo tafsiri tumechukua kutoka lugha ambayo si yetu.Qur'an iliyokuja kwa lugha ya Kiarabu haiitafsiriwi neno kwa neno peke yake lazima ipatikane na maana ambapo hapo ndipo hadithi za Mtume s.a.w hutumika na kama haikuja kwa sura hiyo kuna utaalamu wa ziada hutumika na mtu kama wewe huoni ndani.
Hivyo Mtume Muhammad anaposema yeye ni muislamu wa mwanzo haimaanishi hakukuwa na muislamu kabla yake.Tutoke huko tuje katika hali za kawaida ambapo una watoto kadhaa wa kike na wa kiume kila mmoja alipokuwa mdogo akakwambia baba mimi ndiye mwanao kipenzi na wewe ukamuitikia kuwa sawa na hiyo ikarekodiwa.Hapo baadae akatokea mtu akasimulia matamshi ya wanao,jee kuna mtu atakanusha kwamba fulani ulikuwa humpendi?.
Iwapo Adam a.s ambaye ni wa mwanzo alikuwa muislamu,Musa a.s alikuwa muislamu na alijitaja kuwa ni wa mwanzo ,Issa (Yesu) a.s naye alisema hivyo hivyo na hatimae Muhammad s.a.w akasema kama waliomtangulia.Ukiwacha undani wa maana walizokusudia kulingana na tukio ,kwa matamshi yao pekee Jee nani ndiye muislamu wa mwanzo kuliko mwenzake.
Tafsiri ni sahihi, wacha ujinga! Kwani quran si lugha ya kiarabu tu? Kwanini mnafanya kama lugha hosiyo tafsirika wajinga nyiye?
 
Wewe inaonekana ni kilaza kweli kweli wa Jiografia na hupendi hata kuchungulia ramani na hujishughulishi na historia hata ya miaka ya karibuni.

Israel haikuwepo kabla,iliundwa 1948 na ikawekwa katikati ya mataifa ya kiarabu. Hivi sasa imezungukwa kila upande na hao unaowaita waarabu. Kwa kauli yako hii naona kama unadhani Israel imepakana na Burundi.
Wewe ni muongo, ngoja wapambane na hali zao maana ni wezi
 
Mkuu punguza jazba,Israel ilikuwepo hapo kabla ya 1948,sema waliondoka muda mfupi

Mkuu punguza jazba,hebu tusianzie mbali tuanze tu tr.1/1/1,Yesu alizaliwa bethrehemu,alisali yerusalemu hapo ni mwaka 30,mpaka hapo unadhani wapalestina walitangulia? Na kwa nyingeza tu hata msikiti wa Al aksa umejengwa juu ya mahali palipokuwa na hekalu la mfalme sulemani ambaye ni muislael.wapalestina warudi kwao.
kweli mkuu
 
Kwani mfalme Suleiman alikuwa myahudi?. Afadhali wapalestina wana undugu na mfalme Suleiman kwa sababu wote ni waislamu.Na ulivyosema ni ushahidi kuwa ardhi yote hiyo ni ya wapalestina.Ni ardhi ya Mtume wao na babu yao.
kwa hiyo uislam ulianza kabla ya mfalme suleiman
 
Huu ni uonevu ambao dunia umeufumbia macho na kuuhalalisha kabisa. Aliyesema binadamu wote ni sawa alikosea sana.
Ukisoma historia vizuri ardhi ya palestina ni ya israeli. Kutawanyika kwa Israel kuliwapa mwaya palestina kuitwaa ardhi yao
 
Ukisoma historia vizuri ardhi ya palestina ni ya israeli. Kutawanyika kwa Israel kuliwapa mwaya palestina kuitwaa ardhi yao
Vipi Wangoni wanaweza urudi South Africa kudai ardhi yao na dunia ikawaelewa? Achana na mambo ya historia, kipindi hicho watu walikuwa wanahama hama tu bila mipaka wala passport au visa. Sasa baada ya mipaka kuwepo dunia kubadilika urudi udai hapa ilikuwa ni sehemu ya mababu zangu miaka ya 1700, eti na dunia ikuunge mkono, au uje useme hili eneo langu Mungu wangu kaniambia hivyo.
 
Back
Top Bottom