Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #121
Ulichosema unasema hujasema na unaposhindwa kutetea hoja unasema unapotezewa muda wako.Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa.Quran kuwepo huko mbinguni kabla ya 600AD sio ishu hapa tunaongelea vitu vilvyokuwepo duniani na kujulikana na watu labda uniambie hapa duniani Quran ilikuwepo before mUhammad?
Leta Ushahidi uliokuwepo Duniani kabla ya Muhammad mwaka 600AD hata jina Allah tu lilitungwa na Muhamad mwaka 620AD
Kuhusu Avesta na Veda sijasema zilifanya watu wamjue allah..kila dini ina mungu wao,,Veda za wahindu na Avesta za wazoroastra.
Frankly I am dissapointed in your inability to make or defend an argument.
Mara unabishia Allah kuwepo kabla na mara nyengine unazungumzia Uislamu na Muhammad. Mara nyengine umekubali mwaka 900Ad halafu umejikanyaga unataja mwaka 600Ad ni kipi unachojaribu kupinga.hueleweki kabisa.Ni Mungu,ni Uislamu au ni Muhammad s.a.w.
Kabla ulipoikataa Qur'an niliacha kujadiliana nawe kwa kuitaja hiyo.Ulipoikubali nimekupa ushahidi kuwa Allah ni wa mwanzo kwa maneno yake mwenyewe.Unaona aibu gani kuukubali ukweli.
You dont have to be dissapointed with me.You just have to be clear what is your discussion point. I believe you have got fake cerificate in whatever field you majored.