Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Naomba Ushahidi kiwa Uislam ulikuwepo kabla ya Muhamad.Uislamu ndiyo dini ya mwanzo duniani.Ilikuwepo kabla hata binadamu hawajaanza kuishi duniani.Na zaidi ukristo umeletwa na akina Marko na Yohana kwa mujibu wa maandiko ya biblia.Yesu mwenyewe ni Muislamu kama mitume waliotangulia.Nabii Muhammada s.a.w alipokuja alikuja kuhuisha tu baada ya watu kupotoka tangu alipoondoka nduguye Yesu a.s.
NoTe:Ushahidi/Marejea uwe Source iliyokuwepo kabla ya Muhammad
Sent using Jamii Forums mobile app