Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

Kikubwa hawa waarabu warudishe maeneo waliopora ya watu. Hata hawa wa Africa Kaskazini wanapaswa kurudi kwao.
Elimu yako uliitendea kazi ya haki sana kijana! ebu pata moja baridi hapo kwa mangi naja lipa!!!

Waliyowafanyia wenyeji wa hapo na wao wanafanyiwa hivohivo! kweli Malipo ni hapahapa Duniani mbinguni mbali!!
 
Inaumiza lakini unapogundua waarabu wa Saudia, UAE, Qatar nk ambao ni ndugu wa wapalestina na wanafanana nao kwa kila kitu kuanzia rangi, lugha, dini na tamaduni wameamua kulichukulia poa hili swala unajikuta sauti ya ndani inakuuliza hivi we Bush unaumizwa na Palestina kama nani yao!

Kutwa warabu wana mingle na muyahudi, wamemsahau mpalestina na wameamua kumuuza kabisa. Wewe mbongo ukiumizwa na hili swala umeamua tu, na ni kuruhusu kuumizwa na mambo yaliyo juu ya uwezo wako. Hii kiafya ya akili sio salama..
 
Siyo Waarabu wale ni Magiriki kwa asili, wajukuu wa Alexander the great!! na makamanda wake ( Hellenistic empire) yaani ni wazungu wale wale! ila kwa sababu ya kujisikia kupitia Otoman empire( dola la kiislamu),

hawataki kuitwa whites, wakachagua kajina kao eti ''jumuia ya Waarabu'' ukweli ni kwamba waarabu ni wale wanaoitwa Beduiun, wamenyimwa sana fursa Uarabuni,

Babu zao Wazungu wamerudi wanawaambia hii nchi tuliipora sisi na Babu zenu, tukawapa Babu zenu km zawadi watawale kwa Muda, mikataba yote iko Vatican, wabishi wanabisha waungwana wanaojua wanakubali kiulaini. wale waarabu wa leo na wazungu ni wamoja kidamu ila wengine hawataki umoja huo wanaona ni janja ya wazungu! km unavoona Tanganyika na Zanzibar.

Hakuna Racial entity ya waarabu Duniani pote! hao ni kuna Mestizo pia !
 
Mkuu punguza jazba,Israel ilikuwepo hapo kabla ya 1948,sema waliondoka muda mfupi

Mkuu punguza jazba,hebu tusianzie mbali tuanze tu tr.1/1/1,Yesu alizaliwa bethrehemu,alisali yerusalemu hapo ni mwaka 30,mpaka hapo unadhani wapalestina walitangulia? Na kwa nyingeza tu hata msikiti wa Al aksa umejengwa juu ya mahali palipokuwa na hekalu la mfalme sulemani ambaye ni muislael.wapalestina warudi kwao.
Baada ya kuzaliwa kwa red - heifer, ni suala la muda tu, huu msikiti wataubomoa wajenge hekalu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mfalme Suleiman alikuwa myahudi?. Afadhali wapalestina wana undugu na mfalme Suleiman kwa sababu wote ni waislamu.Na ulivyosema ni ushahidi kuwa ardhi yote hiyo ni ya wapalestina.Ni ardhi ya Mtume wao na babu yao.
Suleiman hakuwahi kuwa mwislam, ni uvivu wa kujisomea ndio unaokusumbua.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu punguza jazba,Israel ilikuwepo hapo kabla ya 1948,sema waliondoka muda mfupi

Mkuu punguza jazba,hebu tusianzie mbali tuanze tu tr.1/1/1,Yesu alizaliwa bethrehemu,alisali yerusalemu hapo ni mwaka 30,mpaka hapo unadhani wapalestina walitangulia? Na kwa nyingeza tu hata msikiti wa Al aksa umejengwa juu ya mahali palipokuwa na hekalu la mfalme sulemani ambaye ni muislael.wapalestina warudi kwao.
Na huo msikiti utavunjwa,Ni timing tu,na hekalu litajengwa upya.
 
Hilo jambo halitotokea.Bindadamu huwa tunafanya jeuri ya hali ya juu kama kutahiniwa na Mwenyezi Mungu wakati YEYE hapatai hasara yoyote lakini siku ile jeuri inapoingilia uwezo na maamuzi yake wazi wazi huwa hatoi fursa kwa jeuri hiyo,hutoa adhabu kali na kumfedhehesha mkosaji na habari yake hubaki historia ya muda mrefu ujao hata wengine baadae wakijifanya hawakusikia.
Aliwahi kufanya hivyo mfalme wa Yemen aliyeabudu dini za kishirikina akitaka kuivunja Alkaaba,babu yake Mtume Muhammad s.a.w aliposikia jeshi kubwa asiloweza kupambana nalo liko karibu akaamuru watoto na jamaa zake wakajihifadhi majabalini na akasema anamuachia Mwenyezi Mungu nyumba yake ailinde anavyopenda.Mfalme na jeshi lake wakati alkaaba iko karibu kabisa hawakuifikia wakafa vifo vya kutisha na waliobaki wakarudi kwao katika hali ya kudhalilika sana.Mwenyezi Mungu aliyefanya hivyo yupo na AlAqSA ni miongoni mwa nyumba zake hizo.Wataendelea kuuvunjia heshima na kuzuia waislamu wasiingie lakini siku wakikusudia kuuvunja ndio mwisho wao.
Angalia Mwenyezi Mungu anavyowafedhehesha japo kidogo ili watu wazingatie.Donald Trump alivyofanya kwa Jerusalem mwaka jana tu anaondoka madarakani kwa aibu kubwa na kuwa kichekesho kwa dunia.
 
Suleiman hakuwahi kuwa mwislam, ni uvivu wa kujisomea ndio unaokusumbua.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hebu leta hayo maandishi uliyosoma yanayothibisha kuwa nabii Suleiman hakuwa muislamu. Itakuwa kwa ujinga wako hujui kuwa mitume wote ni waislamu na Uislamu ndio dini ya binadamu wa mwanzo Adam a.s na ndio dini ya Issa bin Maryam mnayemwita Yesu.
 
Hilo jambo halitotokea.Bindadamu huwa tunafanya jeuri ya hali ya juu kama kutahiniwa na Mwenyezi Mungu wakati YEYE hapatai hasara yoyote lakini siku ile jeuri inapoingilia uwezo na maamuzi yake wazi wazi huwa hatoi fursa kwa jeuri hiyo,hutoa adhabu kali na kumfedhehesha mkosaji na habari yake hubaki historia ya muda mrefu ujao hata wengine baadae wakijifanya hawakusikia.
Aliwahi kufanya hivyo mfalme wa Yemen aliyeabudu dini za kishirikina akitaka kuivunja Alkaaba,babu yake Mtume Muhammad s.a.w aliposikia jeshi kubwa asiloweza kupambana nalo liko karibu akaamuru watoto na jamaa zake wakajihifadhi majabalini na akasema anamuachia Mwenyezi Mungu nyumba yake ailinde anavyopenda.Mfalme na jeshi lake wakati alkaaba iko karibu kabisa hawakuifikia wakafa vifo vya kutisha na waliobaki wakarudi kwao katika hali ya kudhalilika sana.Mwenyezi Mungu aliyefanya hivyo yupo na AlAqSA ni miongoni mwa nyumba zake hizo.Wataendelea kuuvunjia heshima na kuzuia waislamu wasiingie lakini siku wakikusudia kuuvunja ndio mwisho wao.
Angalia Mwenyezi Mungu anavyowafedhehesha japo kidogo ili watu wazingatie.Donald Trump alivyofanya kwa Jerusalem mwaka jana tu anaondoka madarakani kwa aibu kubwa na kuwa kichekesho kwa dunia.

Hizi stor chief. Kwa sasa hiv mwisho wa Isreil ndio mwisho wa dunia. Hakuna watu watakubali kiwakute kama kilichowapata wakati wa Hitler. Ndio maana watu wenye nguvu wako upande wao
 
Hao watu ambao hawatakubali kiwakute ni nani,ni binadamu au ni viumbe gani.Jaribu sana kusoma kumtambua Mwenyezi Mungu na uwezo wake usihadaike na mabomu na silaha za nyuklia.
Mwenyezi Mungu ana silaha kubwa za kistratejia kuliko nyuklia.Moja ya silaha zake ni kubadili tu hisia za watu ikiwa ni moja ya silaha za kimya kimya.
 
Huyo ni Mungu wenu chief ckukataz kumpa hizo sifa ila Mungu wangu anasema yeye ni Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo milele. Hata mpungukia kabisa na atamlinda kama mboni ya jicho
 
Mungu wa Isaka ,Ibrahim na Yakobo ndiye Mungu wangu na wako na Mungu wa Yesu na ni wa viumbe vyote,ni mmoja tu na hakuna mwengine.
 
So unaamin Mungu ndie aliyewapa pale pawe kwao milele?
 
Mungu niliyemtaja hapo juu hana sifa ya upendeleo na wala kufanya uadui na viumbe wake kama walivyo wayahudi.Mungu hawezi kuidhinisha kudhulumiwa kwa viumbe wake.
 
Back
Top Bottom