Ndio wangoni wanaweza kurudi kudai ardhi yao kama wangekuwa hawana sehemu ya kukaa na kuweka makazi. Israel hawana sehemu ya kukaa tofauti na hiyo ardhi palestina walioitwaaVipi Wangoni wanaweza urudi South Africa kudai ardhi yao na dunia ikawaelewa? Achana na mambo ya historia, kipindi hicho watu walikuwa wanahama hama tu bila mipaka wala passport au visa. Sasa baada ya mipaka kuwepo dunia kubadilika urudi udai hapa ilikuwa ni sehemu ya mababu zangu miaka ya 1700, eti na dunia ikuunge mkono, au uje useme hili eneo langu Mungu wangu kaniambia hivyo.
Unajua kabisa unaongea kitu ambacho hakiwezekani basi tu unaongea kujustify point yakoNdio wangoni wanaweza kurudi kudai ardhi yao kama wangekuwa hawana sehemu ya kukaa na kuweka makazi. Israel hawana sehemu ya kukaa tofauti na hiyo ardhi palestina walioitwaa
fikiri nje ya box mtoto wa rafiki, ndugu baba anaweza kuwa mwanao pia kwani hao alio wasukuma mkeo una imani kuwa ni wako ?Alexander the great alikuwa na watoto?