Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Black Amerikan wanaponda sana maisha na kufilisika nako ni rahisi sana huyo jamaa ajiangalie sanaAnakwambia alijisikia bored akaona aende zake Singapore alafu anasema mkae mkao wa kula kesho anaweza kuwa nchi nyingine yeyote....!! (isije ikawa TZ) Wewe ukiwa bored unafanya nini...?! View attachment 764917
50 Cent kafilisika lini mkuu?50 cent
Tyson
Kuna yule wa nba nimemsahau
Walikua na pesa na wala bata sana lakin wakafilisika,huyu jamaa ajiangalie sana
50 hajafilisika mkuu "" zile nijanja Janja tu "" za kukwepa kumlipa fidia yule mwanamke aliye mdhalilisha kwa kupost clip yake ya ngono "" 50katoka kutoa series ya power mwaka jana tu mkuu naimefnya poa mnooo sokoni "" au akili yako ya muwaza Jolie Jolie tu"""50 cent
Tyson
Kuna yule wa nba nimemsahau
Walikua na pesa na wala bata sana lakin wakafilisika,huyu jamaa ajiangalie sana
Mh!50 hajafilisika mkuu "" zile nijanja Janja tu "" za kukwepa kumlipa fidia yule mwanamke aliye mdhalilisha kwa kupost clip yake ya ngono "" 50katoka kutoa series ya power mwaka jana tu mkuu naimefnya poa mnooo sokoni "" au akili yako ya muwaza Jolie Jolie tu"""