Ona kiburi cha pesa Floyd Myweather

Ona kiburi cha pesa Floyd Myweather

MorTimer

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,195
Reaction score
968
Anakwambia alijisikia bored akaona aende zake Singapore alafu anasema mkae mkao wa kula kesho anaweza kuwa nchi nyingine yeyote....!! (isije ikawa TZ) Wewe ukiwa bored unafanya nini...?!
IMG_20180503_193734_336.jpg
 
50 cent

Tyson

Kuna yule wa nba nimemsahau

Walikua na pesa na wala bata sana lakin wakafilisika,huyu jamaa ajiangalie sana
50 hajafilisika mkuu "" zile nijanja Janja tu "" za kukwepa kumlipa fidia yule mwanamke aliye mdhalilisha kwa kupost clip yake ya ngono "" 50katoka kutoa series ya power mwaka jana tu mkuu naimefnya poa mnooo sokoni "" au akili yako ya muwaza Jolie Jolie tu"""
 
Kwa Kweli Power Mpaka Mie Wa Chato Ninayo,na Nzuri Hapo Kwa Fifty Kufilisika Imekaaje?Hivi May Weather Hana Mtoto?
 
50 hajafilisika mkuu "" zile nijanja Janja tu "" za kukwepa kumlipa fidia yule mwanamke aliye mdhalilisha kwa kupost clip yake ya ngono "" 50katoka kutoa series ya power mwaka jana tu mkuu naimefnya poa mnooo sokoni "" au akili yako ya muwaza Jolie Jolie tu"""
Mh!
 
Back
Top Bottom