Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #21
Hata kuongea na kuwasikiliza Watanzania wenye maoni na mitazamo tofauti hakuna kilicho kibaya.Inaoenkana kuna kikundi Kinamuongoza Rais Wetu vibaya.
Hii ni aibu kwa taifa
Yaani kikundi kinamtisha Rais Samia aamini kuwa katiba Mpya ni tishio kwake
Hili la leo limeleta sura mbaya
And it would have costed her nothingKweli Rais kazingua Sana hapo kama angewasikiliza angepata heshima kubwa Sana kama mtu anayetetea demokrasia,waliomshauri kula Kona wamemhalibia pakubwa sana ,ingempa political booster kama angewasikiliza na kuongea nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie na shindwa kuwaelewa kabisa viongozi wetu. Kuwakimbia hao ndio kawapa nguvu zaidi. Kama ulivyosema angeenda kuwasikiliza na kuwaambia msimamo wake. Sijui wanaogopa nini. Ilikuwa opportunity nzuri sana kwake.
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.
Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.
Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!
Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.
Sasa sijui Samia anaogopa nini?
Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?
Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.
Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.
Shame on her and her handlers.
Ofcours hao ni vichwa. Sisi wanyongr huku Dumila tunawachukukia poa lakini hao ni Big peopleLakini atakua kaogopa maswali kutoka kwa hao diaspora Mana hao watu ni intellectual na sio wanyonge wanajua Kila kitu na siasa zetu bongo ni uongouongo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama Bado ana misimamo miwili. Sio muda mwafaka kuonesha msimamo upi kwa sasa.Mie na shindwa kuwaelewa kabisa viongozi wetu. Kuwakimbia hao ndio kawa nguvu zaidi. Kama ulivyosema angeenda kuwasikiliza na kuwaambia msimamo wake. Sijui wanaogopa nini. Ilikuwa opportunity nzuri sana kwake.
Rais anakwepa maandamano ya watu 20?Inaoenkana kuna kikundi Kinamuongoza Rais Wetu vibaya.
Hii ni aibu kwa taifa
Yaani kikundi kinamtisha Rais Samia aamini kuwa katiba Mpya ni tishio kwake
Hili la leo limeleta sura mbaya
Afrika huku bado tuna shida sana. Nadhani wanajifunza. Wanavyotoka toka kwenda nje wanapata Elimu.Hata kuongea na kuwasikiliza Watanzania wenye maoni na mitazamo tofauti hakuna kilicho kibaya.
Pata picha kama hapo ingekuwa ni Tanzania….kuna watu wangeumizwa na vyombo vya dola!
Tunaongozwa na watu wasio na akili kabisa.
Kumbuka kule yuko na Msigwa na Abasi🤣🤣Rais anakwepa maandamano ya watu 20?
Instead of seizing the opportunity, she ran away from it!Mie na shindwa kuwaelewa kabisa viongozi wetu. Kuwakimbia hao ndio kawapa nguvu zaidi. Kama ulivyosema angeenda kuwasikiliza na kuwaambia msimamo wake. Sijui wanaogopa nini. Ilikuwa opportunity nzuri sana kwake.
tatizo hao wlio kusanyika hapo ni wahuni wabeba maboksi ndio maana walikataliwa hata kuingia ukumbini, unawaingizaje wahuni/machokoraa ukumbini karibu na Rais.....Lakini atakua kaogopa maswali kutoka kwa hao diaspora Mana hao watu ni intellectual na sio wanyonge wanajua Kila kitu na siasa zetu bongo ni uongouongo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo lile kundi angewaambia “nimesikia kilio chenu nitashughulikia “ na kwenda ndani kuendelea na kikao. Tena walikuwa wachache sana , angewapa mkono kabisa.Mama Bado ana misimamo miwili. Sio muda mwafaka kuonesha msimamo upi kwa sasa.
Usimchukulie Poa Rais Samia.
Ukumbi wao ulikuwa pale pale nje, angewapa japo dakika moja angeenda ndani.tatizo hao wlio kusanyika hapo ni wahuni wabeba maboksi ndio maana walikataliwa hata kuingia ukumbini, unawaingizaje wahuni/machokoraa ukumbini karibu na Rais.....
unajua makundi kama hayo wengi wao ni watumiaji wa madwa ya kulevya.
Kwamba walichofanya hao wazalendo ni kupoteza muda? Mbona umetumia muda wako kuandika habari za waliopoteza muda?Sina muda wa kupoteza mimi.