Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Kama mnaogopa kubeba mabango mkiwa Tanzania basi nyie ni waoga na nyie ndiyo mnatia aibu siyo hao viongozi wa serikali. Yaani unasuburi mpaka ukilindwa na dola ya mzungu ndiyo unapiga kelele? Aibu tupu. Jifunzeni kwa wanaume wakiZanzibari jinsi ya kupigania haki zenu siyo mnaishi maisha ya woga woga kama kunguru.
 
Hahaha Good one Dr Nyani
 
Hata kuongea na kuwasikiliza Watanzania wenye maoni na mitazamo tofauti hakuna kilicho kibaya.

Pata picha kama hapo ingekuwa ni Tanzania….kuna watu wangeumizwa na vyombo vya dola!

Tunaongozwa na watu wasio na akili kabisa.
Damu ingemwagika na watu wangeepoteza maisha
 
Sababu mojawapo ya mwendazake kugoma kukanyaga nje ilikuwa ni hiyo, ubabe ni hapahapa.
Mwigulu atakuwa amekasirika sana, ingekuwa huku katika malango ya Bunge angesimama, angeweka tai sawia, angeanza kuwachamba kwa hasira na kuwataka wahamie Burundi mara moja.

Huko na mikono amekunja kabisa kiunyenyekevu japo kinafiki huku kimoyomoyo akiwatukana. Kweli nje ni nje tu.
 
Wale wanajeshi wa Chief Hangaya wenye mabunduki makubwa hawakuwepo kule?
 
Sijui alipewaje wizara nyeti vile, akiwa home affairs watu wakiwa wanakotwa kwenye viloba alipoulizwa alijibu ni wahamiaji haramu .kutoka hapo hyo jamaa namuonaga hamnazo kabsaa.
Nakazia tu, toka aliposema mikopo inayokopwa haituhusu watanzania na wala hakuna mtazania atakayegongewa mlangoni kwake kudai hiyo hela haya mambo yanaenda kitaasisi.Toka siku hiyo nikaona huyu jamaa atakuwa alivuta bangi akiwa f2.
 
Viongozi wetu wote hakuna kitu. Hawapo kwa ajili ya maslahi ya wananchi
 
Tuende nyuma na kuludi mbele
Angekua JPM wangeweza kufanya ufyoko km huo? Au kwakua mama ameamua kua mstaalabu ndio mnatafta namna ya kumchafua na kumfedheesha ugenini?
Kosa lao ni nini? Waliokosea ni hao waliomwongoza vibaya pengine hata angekuwa wewe ungefanya huo utopolo.

Pale ni Ugenini mambo ha kumpitisha Rais wetu vichochoroni kaa mambo madogo kama hayo oneni aibu.
 

😳
Umebugiii kusema upinzani ndio walikuwepo leo huku.. wengi sisi tuliokuwepo ni wazalendo tu.. hata vyama hatuna..
 
Mama anaupiga mwingi ndani ya ushungi.

Ametokomea kusikojulikana kwa spidi ya radi. Amekula kona (si ajabu alienda kujibanza kwa lile lizungu lake).

Hili libibi hata sio president material. Tunajilazimisha tu.
Sukuma gang tulieni mnyooshwe
 
Sukuma gang tulieni mnyooshwe
 
Hata kuongea na kuwasikiliza Watanzania wenye maoni na mitazamo tofauti hakuna kilicho kibaya.

Pata picha kama hapo ingekuwa ni Tanzania….kuna watu wangeumizwa na vyombo vya dola!

Tunaongozwa na watu wasio na akili kabisa.
Mme wako magu jambazi alifanya hivyo tulia we kibaka
 
Sukuma gang tulieni mnyooshwe
 
Yaani Rais apoteze muda kusikiliza hao wehu ili iweje? Hao ni wapuuzi tu kama wapuuzi wengine!
Hoja si kkuwasikiliza wala , angepita tu bila kupoteza hata sekunde moja ya kuwaangalia

Hoja ni Rais wa nchi kuingilia mlango wa uani kule wanakopitishia stationery! inafikirisha

Kitendo cha kuwakimbia 'watu wasiozidi 20' kimewapa 'Milage '

Lengo la watu 20 limetimia kwamba Rais amepata ujumbe wao.
Hii 'kick' wameipata kupitia uani . own goal !!

JokaKuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…