Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda

Kaka ujumbe wangu ni ule ule punguza jazba wakati unaongea na watu ambao huwajui vizuri. Nilijenga hoja ya kukwambia mimi sio mtutsi nikakupa historia ya wazazi wangu kwa ufupi tu. Wewe unakuja humu JF unajifanya unajua mambo ambayo kwa maandishi yako jinsi yalivyo, inaonyesha umesikiliza story za wakubwa zako, na story zenyewe unazileta humu zikiwa na makosa mengi ya details. Unadanganywa na watu kuhusu Kagame na wewe unaingia kichwa kichwa. Points zangu zinabakia pale pale kwamba mentality za kitanzania lazima zibadilike ikiwa tunataka kufika mbali. Kama moyo wako umeumia kwa sababu Kagame kapewa sifa anazostahili, sina cha kufanya kwa ajili ya kukuponya. Kagame licha ya madhambi yake mengi, bado ameweza kufanya vitu vingi wakati sisi tukiwa tumekwamba kwenye majibizano mengi ya wanasiasa. Tanzania yetu kila mtu anajua kila kitu, very wrong concept.

Filipo
Jambo usilo lijua ni kama usiku wa kiza.
Ni vyema ungenyamaza na kujifunza wanayo andika wajuvi.
Huwezi kuitwa mjinga wala mpumbavu kwa kutokujua.
Kwa haraka nimegundua wewe ni mtu wa aina gani.
Usilazimishe, weka sikio lako chini utafaidika dogo.
Hao Rwandese-Tutsi tumewaoa na kujukuu nao
Tunawafahamu, Tunawajua kinaga ubaga.
 
Kaka nina uhakika hata mimi hunifahamu, na kama hunijui huna uhalali wa kusema kuwa jambo nilisilolijua ni kama usiku wa giza. Watutsi ninawafahamu vizuri sana. Labda ni vyema tuishie kwenye ngazi hii hii ya maongezi.
 
Labda sio Watutsi ninao wajua mimi ndugu mleta mada alafu kaa ukijua hatuna shida na Wanyarwanda sababu wapo Wahutu sisi tunashida na Watutsi.
 
Amazing...yaani unadhani wnakuhandle burebure tu...they always have their long term hidden agendas....kalia hivohivo eti wanakuhandle...
What agenda nimekaa na three years hiyo ndo misconception
 
Kaka ujumbe wangu ni ule ule punguza jazba wakati unaongea na watu ambao huwajui vizuri. Nilijenga hoja ya kukwambia mimi sio mtutsi nikakupa historia ya wazazi wangu kwa ufupi tu. Wewe unakuja humu JF unajifanya unajua mambo ambayo kwa maandishi yako jinsi yalivyo, inaonyesha umesikiliza story za wakubwa zako, na story zenyewe unazileta humu zikiwa na makosa mengi ya details. Unadanganywa na watu kuhusu Kagame na wewe unaingia kichwa kichwa. Points zangu zinabakia pale pale kwamba mentality za kitanzania lazima zibadilike ikiwa tunataka kufika mbali. Kama moyo wako umeumia kwa sababu Kagame kapewa sifa anazostahili, sina cha kufanya kwa ajili ya kukuponya. Kagame licha ya madhambi yake mengi, bado ameweza kufanya vitu vingi wakati sisi tukiwa tumekwamba kwenye majibizano mengi ya wanasiasa. Tanzania yetu kila mtu anajua kila kitu, very wrong concept.
Embu tupe mfano wa mentality ya kitanzania kwa tarakimu na asilimia, sababu unaongelea neno general sana unalolilenga kwa uma wa watu zaidi ya million 50.

Unasema kila mtu anajua kila kitu, nakuhoji, compared na which countries, on what scales. Please if you coming with accuses don't come with empty generalized words containing your point of views, your point of views can be wrong. Una lako wewe behind the scene
 
Tunajifanya tunajua kila kitu, compared na which countries, on what scales. Please if you coming with accuses don't come with empty generalized words containing your point of views, your point of views can be wrong. Bisha
Siku nzima ya leo nimeliongelea hili suala, please give me a break
 
Embu tupe mfano wa mentality ya kitanzania kwa tarakimu na asilimia, sababu unaongelea neno general sana unalolilenga kwa uma wa watu zaidi ya million 50.

Unasema kila mtu anajua kila kitu, nakuhoji, compared na which countries, on what scales. Please if you coming with accuses don't come with empty generalized words containing your point of views, your point of views can be wrong. Una lako wewe behind the scene
Muda wa kujibishana na kila mtu kwa suala moja tu huwa sina, wewe unaibuka jioni unarudia mada ile ile.
 
Nyie pigeni kelelee wewe ila ninavyojua ni kuwa kagame raia zake jike are so hot! I dont care their political and social standings !i care about hot chicks from Rwanda!
 
Muda wa kujibishana na kila mtu kwa suala moja tu huwa sina, wewe unaibuka jioni unarudia mada ile ile.
Jioni ndio muda mzuri wa kuperuzi huku, sitaki majibishano pia, nataka vithibitisho. Kama hutaki majibishano na huna vithibitisho, usije na generalization za kimihemuko.

Eti shida ya watanzania, as if baba na mama yetu ni mmoja.
 
Jinsi unavyoandika points zako, jinsi unavyolazimisha hoja zako, ni ushahidi wa ujuaji wetu sisi watanzania. Tazama jinsi ambavyo wabongo tunavyoingilia professins nyingi za watu, kuanzia makocha wa kigeni mpaka mambo ya kitaalam yanayofanywa na mawaziri wetu, kote humo ukitazama historia yetu jinsi tunavyoishi na watu wenye elimu zao utagundua kuwa mwisho wa mahusiano yetu kikazi huwa sio mzuri, kwanini?, kwa sababu tunapenda kukurupukia na kuyaingilia mambo ya kitaaluma, ambayo bahati mbaya wengi wetu hatuna ujuzi nayo. Mashirika mengi ya nchi hii yameyumba sana na kwa sababu wanaopewa dhamana ya kuyaongoza hawaishi kuingiliwa na mabosi wao kikazi, na madhara yake wanashindwa kuleta tija inayoonekana. Mfano ni richmond, jinsi ambavyo mchakato mzima wa upatikanaji wa kampuni ya uzalishaji umeme ulivyoingiliwa na ofisi ya waziri mkuu, madhara yake uchumi umeyumba na haujaweza kurudi katika hali ya zamani. Hiyo ni mifano michache tu ya ujuaji wetu. Ipo mingi sana.
 
msumeno,

Ni kweli haoa JF kuna mijadala kadhaa ya kui-dis Rwanda lakini sidhani kama watu wanamaanisha Wanyarwanda wa kawaida-- si hivyo! Binafsi nina my best friend ni Mnyarwanda na anaishi Rwanda and I don't see any difference. Watu wanapozungumzia Rwanda ni utawala na sio watu wake! Ni sawa watu wanavyo-dis tabia za kibabe za US lakini hawamaanishi Wamarekani wenyewe bali tawala za Marekani ingawaje pia ni kweli zipo nchi ambazo kero inakuwa si kutoka kwenye tawala za nchi husika bali watu wake-- mfano mzuri wa hili ni Nigeria, India na hata China. Nigeria hususani wale walio nje ya Nigeria ambao wameichafua sana nchi yao.
 
Atakuja mtu hapa naye atasema jaman ondoen misconception mliyo nayo dhidi ya waarabu, waisrael,wachina n.k huu nao ni aina ya ibaguzi flan hivi. Ukisoma katikati ya mistari utaona kuwa huu wote ni ubaguzi tu. Ukishasema watu flan tayari umewabagua. Nami nataka niwaondoe watu misconception kuhusu mimi.Si kweli kwamba nmetembea sana na dada zenu. Ni wao wenyewe huwa wanataka niwacheck n.k na pia watunatufikiria vibaya sisi kabila letu kuwa tunapenda sana ku drill...hamna basi tu inatokea sabab ya mambo mambo flan. Anyway....tusiendeleze ubaguzi. Mi ninachojua kila taifa lina watu wazuri na wabaya.wema na wakatili,wakorof na watulivu sikuwah kufikiria kuwa rwanda ina tatizo maaana. Nmekaa na wamarekani,wa uk,waisrael, canada,south africa,kenyans,norway, na nimeona ni watu wema na wabaya wapo pia kama tanzania,rwanda,burund,kenya n.k
 
hivi amjui hakuna uongozi mbaya sana kama wa kidemokrasia

ili nchi itoke kimasomaso lazima iongozwe kidkteta lkn ule udkteta wa haki

demokrasia ni mdudu mbaya sana anayeumiza dunia polepole na ni mpango wa shetani kuchafua vichwa vya watu na kuzua makundi kwa mtindo wa kuisaka haki
hivi ufikilii watu milioni 1 wagombea wa 4 kila mtu amchague wake araf ashinde mmoja kwa kula lak 4 inamaana lk 6 nzima hawakutaka waongozwe na huyo araf kuwe na uhuru wa kuongea unafikili nini kitotikea km siyo ugomvi kila uchao na hata maendeleo nchi hukosa
hutakuta kila mtu atazungumzia siasa atajifanya anaijua yaan taflani
mimi binafs ningependa utawala wa kifalme urudi tena au wa kichifu km tamaduni ya kiaflka ilivyo
 
Jinsi unavyoandika points zako, jinsi unavyolazimisha hoja zako, ni ushahidi wa ujuaji wetu sisi watanzania. Tazama jinsi ambavyo wabongo tunavyoingilia professins nyingi za watu, kuanzia makocha wa kigeni mpaka mambo ya kitaalam yanayofanywa na mawaziri wetu, kote humo ukitazama historia yetu jinsi tunavyoishi na watu wenye elimu zao utagundua kuwa mwisho wa mahusiano yetu kikazi huwa sio mzuri, kwanini?, kwa sababu tunapenda kukurupukia na kuyaingilia mambo ya kitaaluma, ambayo bahati mbaya wengi wetu hatuna ujuzi nayo. Mashirika mengi ya nchi hii yameyumba sana na kwa sababu wanaopewa dhamana ya kuyaongoza hawaishi kuingiliwa na mabosi wao kikazi, na madhara yake wanashindwa kuleta tija inayoonekana. Mfano ni richmond, jinsi ambavyo mchakato mzima wa upatikanaji wa kampuni ya uzalishaji umeme ulivyoingiliwa na ofisi ya waziri mkuu, madhara yake uchumi umeyumba na haujaweza kurudi katika hali ya zamani. Hiyo ni mifano michache tu ya ujuaji wetu. Ipo mingi sana.
Dah, umeandika kilekile bila kidhibitisho tena, hayo si ni matatizo worldwide bro. Hayo ni matatizo ya kibinadamu na sio binadamu wa taifa fulani. OK maybe you's right, embu nipe mfano wa nchi hakuna hizi elements.
Ndugu kama unahukumu hivi sababu ya raia waliopo mitandaoni, ujiulize kwanza ni asilimia ngapi ya wa tz wapo mtandaoni, utakuta hata nusu haifiki.

Yani ww unawasema watu kwa tabia ambayo unaidepict mwenyewe. Alafu unawanyoshea index finger, angalia vitatu vinakuelekea wewe. Toa boriti lako kwanza, kwa sababu hata wewe jinsi unavotetea hoja yako na kuilazimisha, ni ushahidi tosha wa ujuaji wako.

Acha vihoja mkuu
 
Kaka hayo yanayotokea kwingine mimi hayanihusu, naiongelea nchini niliyozaliwa mimi, ambayo nilizaliwa ndani ya ardhi yake zaidi ya miaka 40 iliyopita. Eti kwa sababu watu wengine wanatembea uchi basi na sisi tutembee uchi, eti kwa sababu wachina wanakula nyoka, na sisi tule nyoka!!!. Naizungumzia nchini, na ninapoiongelea ukumbuke kuwa mimi ni mzalendo kama yoyote yule unayemjua wewe. Lakini ukweli kwanini usisemwe?, kwanini uogopwe?. Tusipoambiana ukweli yule anayeuona kutokea nje, hataacha tabia ya kutudharau na kutucheka. Nayaandika haya ili yaweze kuchangia katika kubadilisha mindsets zetu.
 
Mleta mada utafiti wako nimdogo sana. Ukiwajua vizuri wanyarwanda hasa Wa kitusi utaelewa. Japo niwatu smart. Lakini niwabaya kuliko. Najua ujaingia kuminanane zao utausoma mziki.
 
Back
Top Bottom