Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Mkuu maelezo yako ni applicable kwenye android za nyuma.Za sa hivi zinahitaj previous email login after hard reset.Otherwise uflash stock or custom firmware
 
Mkuu nisidie Mimi ni ipad
 
Mkuu maelezo yako ni applicable kwenye android za nyuma.Za sa hivi zinahitaj previous email login after hard reset.Otherwise uflash stock or custom firmware
Mkuu mengine ndo ajira yetu
 
Mkuu kuna simu baadhi hasaa haya matoleo ya hizi karibu kama tecno cx na wx ukifanya hivyo ikielekea kumaliza inaomba email iliyokuwa ikitumika awali ktk hiyo simu. nini unatakiwa kufanya kama umeisahau email.
 
Simu za Adroid kuanzia v6+kama umesahau email uliyofungulia Huwezi bypass password / pattern kwa hizo njia ulizoleta mtoa mada..
Mkuu samahan wewe unaweza kujua kujua inatakiwa utumie njia gani maana matoleo haya mapya yansumbua sana haad ukaflash
 
Aise mi nasim ya huawei P9 moja imegoma kuwaka ile sim nmejaribu fanya km ivo lkn wap inawaka tu inaonesha icon ya huawei lkn haistart inaganda ivo ivo,mi simu ya android hz bhana ni sheda
Mkuu niuzie hiyo nihangaike naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…